Waziri wa zamani wa sheria Jamuhuri ya kidemokrasia Congo, Constant Mutamba, amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu cha kazi ngumu kwa kosa la kufuja dola milioni 19 zilizotengwa kwa ujenzi wa gereza mjini Kisangani. Uamuzi huo umetolewa na Mahakama ya Rufaa (Court of Cassation), ambapo pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.