connection za kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Ajira: Ninaomba Connection za Kazi

    Habari, naomba kutanguliza samahani. Nilikuwa naomba kuuliza kama kuna mtu mwenye connection ya kazi. Naomba msaada, wakuu. Nina umri wa miaka 23 na nina elimu ya chuo kikuu.
  2. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania uzi maalum kwa ajili ya connection za kazi; Bara, Zanzibar & Uarabuni, wenye Elimu na wenye ujuzi.

    Ugonile, Kuanzia leo ntakua napost nafasi za kazi au nafasi zinazoelekea na kazi humu. Msinipigie simu tafadhali, Tangazo litakua linajitosheleza. NB. Hizi nafasi zipo chini ya madalali hivo hakuna mlolongo wa interview ila hakikisha unafanikisha lengo lako ndo unalipa. AVAILABLE POSITIONS...
  3. Jackson QUECA

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi au connection za kazi

    Wakuu habari za majukumu ya hapa na pale.Naomba kama Kuna mwenye kazi au connection za kazi,mahali popote professional nimesoma ualimu,“Diploma for secondary education ”masomo ya phizikia,pamoja biologia.Pia ambazo siyo professional Kama —⟩Ufugaji wa kuku aina ya broiler. —⟩kilimo Cha bustani...
  4. 2

    JamiiForums Tanzania Natafuta connection za kazi nje ya nchi

    Ndugu zangu habari ya majukumu ya siku ya leo, natumaini Mungu anawatunza vyema. Mimi ni kijana nina ndoto za kwenda nje ya nchi kufanya kazi za vibarua, naamini wana JF wengi wanafahamu mambo mengi maana ki maisha tumetofautiana. Basi yeyote mwenye information zozote kulingana na suala langu...
Back
Top Bottom