Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetangaza kuifuta usajili wake mara moja meli ya EAGLE (IMO No. 8203074) kufuatia taarifa za kukamatwa kwa chombo hicho nchini El Salvador kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya.
Kulingana na taarifa iliyotolewa Februari 27, 2026 na Mamlaka ya...
Wakuu,
Bendera ya Tanzania kuwa kwenye meli hii inamaanisha nini na ina athari gani kidiplomasia? Na hiyo mizigo hapo chini imefungwa kwa bendera yetu pia?🤔
====
Mnamo Februari 19, 2026, katika eneo la La Unión, El Salvador, Jeshi la Majini la nchi hiyo lilitangaza kufanya ukamataji mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.