The Magellanic Clouds (Magellanic system or Nubeculae Magellani) are two irregular dwarf galaxies in the southern celestial hemisphere. Orbiting the Milky Way galaxy, these satellite galaxies are members of the Local Group. Because both show signs of a bar structure, they are often reclassified as Magellanic spiral galaxies.
The two galaxies are the following:
Large Magellanic Cloud (LMC), about 163 kly (50 kpc) away
Small Magellanic Cloud (SMC), about 206 kly (63 kpc) away
The Magellanic clouds are visible to the unaided eye from the Southern Hemisphere, but cannot be observed from the most northern latitudes.
Huyu jamaa watu tumeamua kufukua makaburi yake yote ya nyuma! Leo acha tuanze na hili tukio ambalo binafsi liliniacha mdomo wazi baada ya Makonda alipokata kuomba msamaha kwa Clouds baada ya tukio la kuvamia Media hiyo! Tena alikataa mbele ya Marehemu Ruge
Hii ilikuwa ni Aug 9, 2017 katika...
Salut kwenu great thinkers wa JF.
Hivi karibuni nimeshuhudia uenezi wa taarifa za kipvmbavu sana kupitia hii media house. Moja ya taarifa hizo ni hizi hapa chini
1.ALIKIBA APOSTI PICHA AKIWA DIAMOND PLATNUMZ: kaeni mkielewa jamii ishawakataa waha wajinga na wasaliti wa hili taifa
2. MKE WA MC...
Clouds Media wameharibu siku yangu mapema sana leo majira ya saa 0600Hrs nikiwa nimelala nawaza nikapige mishe wapi za kuniingizia chochote maana kwa leo nimeamka sina ramani yoyote, sasa nikiwa nasikiliza radio iliyokua imewashwa sebuleni kwa sauti ambayo kila aliechumbani anaweza kuiskia ndo...
Kwa mujibu wa andiko la Martini Maranja Masese, licha ya Dj Fetty Kukidhi vigezo vyote vya Kitaaluma kwa Mujibu wa Bodi ya Ithibati, ameondolewa akzini.
ANDIKO LENYEWE HILI HAPA KAMA NI KWELI NI DALILI MBAYA SANA
Pole sana Bi. Fatma H. Ahmed (@thebestfetty). Tunaelewa kwamba wenye mamlaka...
Wakuu
Joseph Kusaga, Mkurugenzi Mtendaji Clouds Media Group akizungumza kwenye tukio la Uzinduzi wa Malkia wa Nguvu amesema
"Huu ni mwaka tunakwenda kwenye uchaguzi na uchaguzi wetu tumeshasema mama ndiye Rais wetu. Mimi Sina Chama ndio maadili ya shughuli ninayofanya lakini mama amepewa...
Wakuu,
Hawa watu hata matambara ya kudekia hatoshi kuelezea upumbavu huu wanafanya na hizo poda zilizojaa kwenye vichwa vyao, maana matambara yanasaidia kufanya usafi vizuri na kuhakikisha sehemu inakuwa safi kuliko hawa wapuunzi ambao wapo hapo kwaajili ya kula matapishi na chochote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.