Mahakama ya Hakimu Mkazi iliyopo Kisutu, jijini Dar es Salaam, imetoa hukumu katika shauri la madai ya kashfa lililofunguliwa na msanii na Mbunge Clayton Revocatus Chipando (Baba Levo) dhidi ya Webiro Wasira maarufu kama Wakazi.
Katika hukumu iliyotolewa tarehe 13 Machi 2026, mahakama imebaini...
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus Chipando, maarufu Baba Levo aagiza Halmashauri kuacha kuanzisha kodi mpya kwani “Zinawaumiza Wananchi” bali watengeneze vyanzo vipya vya mapato ambapo amesema yeye pamoja na madiwani washirikiane kupunguza baadhi ya tozo zilizopo kwa Wananchi na siyo...
Mgombea Ubunge wa Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo, amefanyiwa maombi maalum na wachungaji zaidi ya 100 mkoani Kigoma.
Baada ya kuona Baba Levo ameteuliwa kuipeperusha bendera ya chama cha Mapinduzi kulitetea jimbo la Kigoma Mjini, hili limenifanya niamini kwa 100% kuwa kuna majimbo yameandaliwa kwa ajili ya ACT Wazalendo na CHAUMMA.
Kwa akili ya kawaida sioni ni nini CCM wamekilenga kwa Baba Levo zaidi ya...
Msanii wa Bongo Fleva ambaye pia ni Mtangazaji wa Wasafi FM, Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo, na mtia nia Ubunge Jimbo la Kigoma mjini Kupitia CCM, amekea vikali kauli za Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe aliyoitoa kuwa Wasanii, Wachekeshaji na Watangazaji sio watu sahihi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.