Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, ametoa ufafanuzi kuhusu hatua ya kufutwa kwa baadhi ya kozi za ualimu katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), ambayo imeibua taharuki miongoni mwa wanafunzi na wadau wa elimu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 22, 2025 jijini...