chumvi nyingi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Uliwahi kupigiwa story gani ya “chumvi nyingi” kuhusu wanajeshi wetu wa JWTZ?

    Me nilishawahi kuambiwa, Jenerali Mboma wakati wa vita vya Kagera, aliingia jijini Kampala na fighter jet za JWTZ akafanya sana vurugu na kuzua taharuki kubwa. Jeshi la Uganda likajibu kwq kumkimbiza mpaka Dar Es Salaam lakini hawakumpata😂 Karibuni mtiririke kamba na chai mlizopigwa kuhusu...
  2. JamiiForums Miti iliyoona mengi. Miti iliyokula chumvi nyingi

    Ni miti mikongwe duniani.. Toka kila pembe ya dunia.. Imeshuhudia na kuona mengi.. Inayajua mengi mabaya na mema, ya kizani na ya nuruni Imeshuhudia maanguko ya falme na himaya katili. Imeshuhudia mauaji ya halaiki na kimbari Imepona vimbunga na mafuriko Imesalimika ukame wa kutisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…