Mbunge wa Viti maalum Christina Mzava achukua fomu ya kugombea Ubunge kwa mara nyingine katika ofisi ya UWT mkoa wa Shinyanga.
Kumbuka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefungua rasmi mchakato wa kuchukua na kurudisha fomu za kugombea Udiwani, Ubunge, na Uwakilishi kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025...
MBUNGE CHRISTINA MNZAVA AGAWA VIFAA VYA MICHEZO KWA WANAFUNZI SHINYANGA VIJIJINI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Dkt. Christina Christopher Mnzava amegawa vifaa vya michezo kwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kaselya iliyopo katika Kijiji cha Igegu Kata ya Mwamala Wilaya ya...
MBUNGE CHRISTINA MNZAVA AZINDUA UANDIKISHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA WILAYANI KAHAMA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Dkt. Christina Christopher Mnzava ameshiriki katika Uzinduzi wa Zoezi la Kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura Wilaya ya Kahama Mkoa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.