Maonesho ya 137 ya Canton yamefunguliwa hivi karibuni mjini Guangzhou China.
Takwimu zinaonesha kuwa katika siku ya ufunguzi, jumla ya wanunuzi 64,530 wa ng'ambo wameshiriki katika maonesho hayo, ambalo ni ongezeko la asilimia 8.9 ikilinganishwa na siku kama hiyo mwaka jana, na kuweka rekodi...