chenchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Chenchi tu iliyobaki kwenye kamati ni thamani ya gorofa la mwijaku analosumbua nalo watu umejifunza nini

    Tulieni watu watu wana pesa acheni na wapo maporini uko wametulia Tanzania ya leo siyo ile ya kuamini wenye nacho wapo mjini tu vijana kaeni mashambani kwenu uko mtengeneze pesa si kukimbilia mjini kuzunguka na reso na visu ukiamini utatoboa
  2. JamiiForums Tanzania Utafanyaje kama umeongezewa chenchi?

    Kuna muda unakuta Dukani amenunua kitu alafu muuzaji anajisahau anakuongezea chenchi pasipo yeye kujua Je ghafla ghafla tu umepokea chenchi umeona umeongezewa alf muuzaji yupo busy Utafanyaje ? Na Unajiskiaje na alf ulikuwa hauna hela ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…