chenchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Marco Seth

    Utafanyaje kama umeongezewa chenchi?

    Kuna muda unakuta Dukani amenunua kitu alafu muuzaji anajisahau anakuongezea chenchi pasipo yeye kujua Je ghafla ghafla tu umepokea chenchi umeona umeongezewa alf muuzaji yupo busy Utafanyaje ? Na Unajiskiaje na alf ulikuwa hauna hela ?
Back
Top Bottom