chawa wa samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Father of All

    Onyo kwa Watanganyika wanaomtetea Samuya: Kikinuka tena yeye atakwenda zake kwao

    Sizungushi. Kichwa cha habari kiko wazi. Hivyo, ndiyo itakavyokuwa. Hivyo, watanganyika wanaotumika na kuuza uhuru na utu wao, waache mara moja. Mtaachwa na Tanganyika yenu na watu wake kwa vile yeye atatimkia kwao au kwa mabwana zao kule Uarabuni ambako wanatoka wengi wa wachukuaji wetu...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 VIDEO: Hawa Chawa wa Rais Samia wenye 'plate number' za SSH 2025, Polisi wanaweza wasimamisha barabarani kweli?

    Wakuu Wakati wengine wanapigania mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi (No reforms, No election) lakini kuna hawa Chawa Pro Max wa Samia ambao wanatumia namba plate kumpigia debe Rais Samia kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kwa hali hii hata wakivunja sheria za barabarani unadhani Polisi...
  3. Lord Denning

    CCM msaidieni chawa wa Samia Kigogo 2014 aelewe Sheria za Nchi na aache kupost asivyovielewa huko X

    Baada ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Ndug John Heche kueleza jana kuwa CHADEMA wanaenda kuweka ushahidi na kuuelezea Umma namna taifa hili linavyoibiwa kupitia miradi mbalimbali ikiwemo tenda za ununuzi za mradi wa SGR, chawa wa Samia na CCM amejitokeza kumtisha Heche eti atakamatwa na...
  4. Mindyou

    PreGE2025 Michael Msechu atembelea wavuvi na mabaharia katika bahari ya Pangani siku chache kabla ya Rais kuwapatia wavuvi hao maboti 80

    Balozi wa mazingira na mhamasishaji ndugu Michael Msechu amewatembelea wavuvi na mabaharia katika bandari ya Pangani ambapo Rais Samia anatarajiwa kukabidhi boti 80 kwa vijana moja ya kumbukumbu kubwa na hitaji kubwa kwa vijana wa Pangani.
  5. Cute Wife

    PreGE2025 Chawa na Samia Challenge, kuna kitu chawa wanaweza zaidi ya kujipendekeza?

    Wakuu, Kwenye hii challenge walitakiwa kusema Rais Samia kazailiwa lini. Pale ambako hata yule wanayemuita mjumbe maalum wa Ikulu kachemka, ila wanasema mama kafanya, kile, na hiki. Ni kwasababu wapo kama kaseti, wananywesha takataka wanazimeza kama zilivyo na kazi yao ni kutema tu. Ukiuliza...
Back
Top Bottom