chawa wa rais samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PreGE2025 Mbunge Maganga: Bora niwe Chawa kwa Rais ili Wananchi wapone

    Mbunge wa Jimbo la Mbogwe, Nicodemus Maganga, amesema yuko tayari kuwa "chawa kwa Rais" ili kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma muhimu za afya, elimu, maji na barabara. Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza na wakazi wa Kata ya Nanda kwenye mkutano wa hadhara, ambapo amekiri kuwa eneo...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Mwanafunzi wa UDSM aikosoa Serikali kwa kutotekeleza ahadi muhimu, asema "Wasomi tusigeuke kuwa wapambe"

    Angas Robert Oketch, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ameikosoa serikali ya Tanzania kwa madai ya kutotekeleza ipasavyo baadhi ya ahadi na miradi muhimu kwa taifa ndani ya kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais...
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Chawa wa Rais Samia, Cassypool kutoka Kenya atembelea ujenzi wa barabara ya Mwendokasi

    Wakuu Hapa kama Nchi ndipo tumefikia yaani Chawa wa Rais Samia, Cassypool amesafiri kutoka Kenya kuja kutembelea ujenzi wa barabara ya Mwendokasi. 🤣 Nchi ina Chawa wa Kimataifa, labda kuna pesa nyingi sana inamwagwa kumsemea mhusika ndio maana Chawa wameona ni wakati wa kula na kipofu gizani...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Mchekeshaji mzee Shayo apiga magoti kupokea bahasha ya maokoto kutoka kwa Rais Samia. Ampigia debe urais 2025

    Wakuu Hii ni aibu kubwa kwa vijana wa taifa hili. Mpaka rais anafurahia uchawa na kuona ni kitu cha kawaida tu! === Huu uchawa sasa umepitiliza, tazama mchekeshaji maarufu mzee Shayo akipiga magoti kupokea bahasha ya Maokoto kutoka kwa Rais Samia baada ya kumpigia debe urais 2025 kwenye tukio...
  5. W

    PreGE2025 Wasomi wanaomsifia Rais Samia wasema wanachukizwa kuitwa chawa, wasema wao ni watu wenye akili timamu

    Wakuu, wasomi wanaomsifia mama naona wameumia bhana kuitwa chawa wanasema wao wana akili zao timamu na hawafanyi kwa mihemko. Katibu wa vijana na uhamasishaji wa taasisi ya Samia for Us, Gerald Mandago ambaye pia ni Msomi wa chuo kikuu akiambatana na wanafunzi wa vyuo mbalimbali amesema...
  6. Zee la madawa

    Rais Samia ni Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili

    Whether you are agree not you are agree Rais Samia ni Rais bora sana kuwahi kutokea kwenye taifa hili ama hakika haya aliyoyafanya na anayo endelea kuyafanya ama rais yoyote yule aliwahi kuyafanya labda Rais Magufuli na yeye alijitahidi ila ndiyo hivyo angetawala miaka zaidi hii nchi ingekuwa...
  7. L

    Rais Samia awakosha na kuwapa Tabasamu Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika tuna Rais wa nguvu, Rais wa viwango vya nyota tano, Rais mzalendo, msema kweli, wa kujivunia, mwenye misimamo, kujiamini, na ufahamu wa masuala mbalimbali. Watanzania tuna Rais anayewajua vyema na kwa undani wasaidizi wake na kutambua nani anafaa wapi...
Back
Top Bottom