charles kitima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania KKKT Karagwe yalaani shambulio dhidi ya Fr. Kitima

    YAH: SALAAM ZA POLE. Kwa niaba yangu binafsi, na kwa niaba ya Dayosisi ninayoiongoza kwa neema, pokea salaam za pole kama Baraza, Kanisa na binafsi kwa Fr. Charles Kitima kwa tukio ovu lililofanyika na kumdhuru mtumishi wa Baraza. Shambulio hilo si la Fr. Kitima, si la TEC, wala la Imani ya...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 James Mbatia: Waliomshambulia Padri Charles Kitima walilenga kumuua

    Mwanasiasa mkongwe nchini James Mbatia, amevunja ukimya kuhusu tukio la kushambuliwa kwa Padri Charles Kitima, ambaye ameelezea pia ni baba yake mlezi wa kiroho ambapo amesema kuwa tukio hilo lililenga waziwazi kuondoa uhai wa padri huyo. Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu...
  3. JamiiForums Tanzania Mashambulio Pacha Kenya na Tanzania Mbunge Charles Were na Padre Charles Kitima

    Wataalamu wa ubashiri na nyota na pia jamii ya wana intelligensia tumeyasikia matukio haya mabaya yaloyotokea Ndani ya nchi hizi jirani. Ikumbukwe mwaka 1998 kuliwahi kushuhudiwa mashambulio ya awali duniani ya kigaidi yanayotumia milipuko katika majengo Nairobi na Daressalaam yaliyofanywa...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya Fr. Charles Kitima - Katibu mkuu TEC kunusurika kuuwawa,; Askofu Mwanamapinduzi, Mwamakula, Mwamalanga na Bagonza chukueni tahadhari

    Waswahili wanasema hivi; "...ukiona mwenzio kanyolewa, basi wewe jiandae kwa kutia maji kichwa chako, maana inayofuata ni zamu yako..." Dali zote zinaonesha kuwa vita iliyopo sasa Tanganyika ni; Vita kati ya HAKI na UOVU... Vita kati ya MUNGU na SHETANI - IBILISI... Watumishi wa Mungu...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Fr. Kitima baada ya kushambuliwa: Hatutakiwi kuogopa kulipa gharama katika kusimamia haki

    Boniface Mwabukusi. Rais na TLS ameandika kupitia ukurasa wake wa X: "Nimemtembele Father Dr. Charles Kitima. Hakika lilikuwa shambulio baya lenye lengo la kudhulumu maisha. Mungu ni mwema sana anaendelea vizuri. Huu ni Ujumbe wake kwetu.... Lazima Tuwe Imara kusimamia masuala ya Msingi...
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA yalaani Shambulio Dhidi ya Dkt Kitima

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimelaani Shambulio la kupangwa dhidi ya Katibu wa TEC Father Charles Kitima lililokusudia kutoa Uhai wake. Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kote Duniani hili hapa Soma pia News Alert: - Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…