changamoto ya usafiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. rombosa

    KERO Changamoto ya usafiri na ongezeko la nauli nyakati za jioni Dar es Salaam

    Kwanini daladala zinazosafirisha abiria kutokea eneo la Gerezani / Shule ya msingi Uhuru kuelekea Temeke hususani Buza zinatoza nauli kubwa tofauti na bei elekezi ya serikali? Bei elekezi ya serikali ni TSH 600/- lakini inapofika nyakati za jioni nauli inabadilika hadi kufikia TSH 1,000/-. Je...
  2. D

    Njia mojawapo ya kupunguza foleni na changamoto ya usafiri

    Habari zenu! Kutoka mbagala rangi tatu mpaka mbezi mwisho ni wastani wa kilomita 36.5km, let's say serikali inatoa tenda na kibali cha usafirishaji wa raia kutoka mbagala hadi mbezi mwisho kwa kampuni Moja binafsi kama ilivokuwa kwa barabara za mwendokasi ili kupunguza foleni itokanayo na idadi...
  3. W

    PostGE2025 Je hili kundi linaloondoka sasa kutoka Dar kwenda mikoa mingine, ni hofu ya maandamano au? Je, vipi kuhusu huko waendako?

    Wakuu Nimeona taarifa juwa hali ya usafiri Dar kwenda mikoani imekuwa changamoto, wasafiri ni wengi kuliko mabasi. Je kuna tetesi zozote za magari kutokusafiri ikikaribia Disemba 9? Ama wananchi tu wamekuwa na hofu? === Hali ya usafiri katika eneo la Shekilango jijini Dar es Salaam imekuwa...
  4. Abraham Lincolnn

    Haiwezekani wananchi wanapata tabu na adha kubwa sana ya usafiri halafu CCM inanunua mabasi ya gharama

    Haiwezekani wananchi wanapata tabu na adha kubwa sana ya usafiri wa umma kisha chama ambacho kinajinasibu kipo kwa ajili ya kusaidia wananchi kinanunua mabasi mengi kwa gharama kubwa huku wananchi wakiteseka na usafiri wa umma. This has to end OKTOBA 29 MAANDAMANO
  5. mirindimo

    Hali ya usafiri Dar kutoka Karikoo au Posta ni mbaya sana

    Mida ya jioni bajaji zina charge kutoka Karikoo hadi Kimara ni 4,000 kutoka Karikoo hadi Mbezi ni 5,000. Viongozi wako busy na kampeni hakuna anae jali , watoto wao wanatembea na magari ya Billions yaliyonunuliwa na hawa walipa kodi wanaoteseka na usafiri ili wakafanye shughuli zao walipe kodi...
  6. DuaZaMama

    Unahisi kwanini mwendokasi umeshindwa kutatuta changamoto ya usafiri katika jiji la DAR?

    Wakuu ==== Katika miaka ya hivi karibuni, Serikali ya Tanzania kupitia DART (Dar Rapid Transit) imekuwa ikifanya jitihada kubwa za kuboresha mfumo wa usafiri wa umma jijini Dar es Salaam kwa kununua magari ya mwendokasi. Hata hivyo, licha ya uwekezaji huo mkubwa, changamoto bado ni kubwa —...
  7. ThisisDenis

    PreGE2025 Changamoto ya usafiri

    Hivi changamoto ya usafiri serikali inaiona kwa upande wa dar es Salaam, Maana usafiri ni kiungo muhimu cha maendeleo na usafirishaji wa haraka. Mnalionaje hili ?
  8. upupu255

    Mkuu wa Wilaya ya Sengerema asema changamoto ya usafiri Kivuko cha Kigongo-Busisi inatokana na Gugumaji jipya, Serikali yachukua hatua za haraka

    Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Senyi Ngaga, amesema kumekuwa na changamoto ya usafiri katika kivuko cha Kigongo-Busisi kutokana na kuibuka kwa gugumaji jipya linalosababisha hitilafu kwenye injini za vivuko. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya vivuko vililazimika kusitisha safari ili kufanyiwa...
  9. Just Pray

    PreGE2025 Dodoma: Ujenzi wa barabara ya Zegele - Chikopelo unategemewa kutatua changamoto ya usafiri

    Kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Zegele - Chikopelo yenye urefu wa kilomita 16, pamoja na ujenzi wa kalavati la Chikopelo, kumeleta faraja kwa wananchi wa vijiji vya Chikopelo na Zegele, wilayani Bahi, Dodoma. Mradi huu ni sehemu ya juhudi za Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)...
  10. N

    KERO Ikifika usiku nauli ya Njiro, Arusha inapanda mpaka Tsh. 1,000 kutoka Tsh. 600

    Salama wakulal? Kuna shida hapa Arusha, haisi za kwenda njiro ikifika saa tatu usiku nauli inapanda kutoka mia sita kwenda buku! Kwanini wanafanya hivyo wakati nauli inajulikana ni mia sita?
  11. A

    KERO Changamoto ya usafiri wa daladala nyakati za usiku Buhongwa-Usagara

    Habari, Kumekuwa na changamoto kubwa nyakati za jioni kwa daladala za Buhongwa kwenda Usagara kwani abiria wote wanaoshuka njiani wanaliopishwa nauli sawa na anayefika mwisho wa gari hali inayowaumiza abiria hao Tafadhali mamlaka ziangalie hili
  12. Just Pray

    Hivi kwa watu wanaoishi Kigamboni hii changamoto ya usafiri itakuja kuisha kweli?

    Vijana wengi wenye harakati zao hapa mjini utasikia wakisema ooh mimi siwezi kuishi kigamboni, mara usafiri wa taabu sana, ivi hii changamoto itakuja kuisha kweli?
  13. Right Marker

    Changamoto ya usafiri kila ifikapo mwezi Disemba

    📖Mhadhara (62)✍️ Kumekuwa na changamoto ya usafiri kipindi cha mwezi Disemba hasa karibia na tarehe za sikukuu ya X-Mass na Mwaka mpya. Hiki ni kipindi ambacho watu wengi wanasafiri kwa ajili ya kwenda kula sikukuu mikoa mbalimbali. Sikatai kuwa kipindi hiki vyombo vya usafiri vinazidiwa nguvu...
  14. Gulugujatza

    Mabasi ya mwendokasi yawe suluhisho kwa wanafunzi mikoani

    Habari za Asubuhi mlio hai na kupata uzima wenye Nuru na baraka kutoka kwa Mungu Mwenye mamlaka ya dunia hii. Leo Asubuhi Wakati naelekea kwenye mazoezi ya kuweka mwili fiti kidogo nilibahatika kupitia kwenye Barabara kubwa yenye mengi magari hapa mkoani kwangu,kubwa zaidi lilonifanya nifike...
Back
Top Bottom