chama wanasheria uganda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Chama cha Wanasheria Uganda imeishtaki Serikali Jeshi kuendelea kuzingira makazi ya Bobi Wine

    Chama cha Wanasheria wa Uganda (ULS) kimefungua kesi dhidi ya serikali, ikishutumu vikosi vya usalama kwa kuizingira nyumba ya kiongozi wa upinzani Robert Kyagulanyi 'Bobi Wine', huko Magere, kwa kutumia askari wenye silaha pamoja na ndege zisizo na rubani, wakidai ni kinyume na sheria. Maombi...
Back
Top Bottom