Aliyekuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Makini, Coaster Jimmy Kibonde ameomba Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kumpatia Gari ambalo alipewa kama mmoja wa wagombea wa nafasi ya Urais Tanzania kwakuwa amelitendea haki kwa Kufanya kampeni karibu mikoa yote...
Maendeleo ya Tanzania bado ni duni sana.
Shule nyingi vijijini zimechoka hazina vyoo, madarasa,. Zahanati nyingi vijijini zimechoka.
Alafu mgombea wa Chama tawala anazunguka na wasanii, mabasi 200, wafuasi na chawa wa chama zaidi ya 10000 kwa gharama kubwa.
Kwa nini hizo pesa zisitumike kwa...
Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo wananchi watamchagua mgombea wa urais wa chama hicho, Coaster Kibonde, serikali yao itatoa bodaboda zaidi ya milioni moja ili kuwapatia ajira vijana.
Hayo yalielezwa jana wakati wa uzinduzi wa...
Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo wananchi watamchagua mgombea wa urais wa chama hicho, Coaster Kibonde, serikali yao itatoa laki moja kila mwezi kwa wazee wote wa Tanzania
Hayo yalielezwa jana wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama...
Mkituchagua chama Makini katika uchgazi mkuu 2025 tutajenga hospitali za kata nchi nzima na kuweka vifaa tiba pamoja na wauguzi, madakitari ili kuwez kuwahudumia watanzania ambapo serikali itagharamia kuwapeleka vijana kwenye vyuo vya nje ya nchi kupata elimu ya afya ili kuja kutoa huduma katika...
Mgombea urais kupitia Chama cha MAKINI, Ndg. Coaster Kibonde, amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi serikali itaanzisha na kutoa ajia mpya zaidi ya milioni moja kwa vijana wa Kitanzania, nakuwataka vijana kuwapigia kura Oktoba 29, 2025.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.