Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, amesema endapo atapewa ridhaa ya kuongoza serikali, atahakikisha anajenga kiwanda cha saruji mkoani Mwanza ili kupunguza gharama za ujenzi.
Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni wilayani Misungwi, Kunje alibainisha...
Chama cha Wakulima(AAFP) kinatarajia kufanya uzinduzi rasmi wa kampeni zake za uchaguzi mkuu mwaka huu siku ya Agosti 31
Kwamujibu wa taarifa iliyotolewa na mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho Kunje Ngombale Mwiru ni kuwa uzinduzi huo unatarajiwa kufanyikia katika kijiji cha Kisaki Mvomero...
CCM tusimchukulie poa huyu mgombea urais wa chama cha wakulima. Ana hoja nzito ya uzalendo inayoweza kusababisha akapata kura nyingi na kutikisa ushindi wa kishindo wa mgombea wetu Mama Samia Suluhu. Huenda akawa nafasi ya pili..
Jamani Wana JM.na wakulima woote.
Mm kijana mwenzenu nauza mbolea ya kuku, IPO NYINGI sana Yani NYINGI sana.
Ɓei yake ni 1000 lakini ukija na kiroba chako napunguza bei. Napatikana mbezi Luis (Makabe) karibuni sana...
Tanzania ni kisiwa cha AMANI NA UTULIVU duniani. Tukiharibikiwa hatuna pa kukimbilia - majirani zetu wote wako ktk maisha ya mshikaki.
Wakati baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakitangaza mfululizo habari za kuwepo maandamano kila mkulima nchini alipata wasiwasi juu ya matokeo ya maandamano iwapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.