Mwanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), Rose Kahoji amekuwa mwanamke wa tatu nchini kutangaza nia ya kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Kwa hatua hiyo, Kahoji anaungana na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan wa CCM, ambaye tayari amepitishwa na chama chake kuwania nafasi...