KARIBUNI MIFUGO PLUS
Mashine ya kutengeneza chakula cha kuku, samaki, na mifugo mbalimbali km, sungura,ngombe, mbuzi ngurue
Mashine Zipo chake Pia zipo kwenye Of Baada ya Lak 4
Njoo Oficini Lipia Kwa Bei ya 380 Ujanja Kuwai wateja wangu PIGA SIM 0612323330
Habari: El Fasher, mji mkuu wa Darfur Kaskazini nchini Sudan, umekuwa chini ya mzingiro wa Vikosi vya Usaidizi wa Haraka (RSF) kwa zaidi ya miezi 14, hali iliyosababisha janga kubwa la kibinadamu kwa wakazi takriban 900,000.
Athari kwa Binadamu
Masoko yamekauka, bidhaa za msingi kama sukari...
Utangulizi
Tanzania ina nafasi kubwa katika sekta ya kilimo na ufugaji. Kwa matumizi bora ya rasilimali hizi, wakulima na wafugaji wanaweza kuongeza uzalishaji na kuboresha kipato chao. Makala hii itaangazia ufugaji wa kibiashara wa kuku, ng'ombe, nguruwe, na mbuzi, pamoja na kilimo cha mazao...
Tuna tegemea kuwa na Kiwanda kidogo cha kuzalisha chakula cha mifugo aina mbalimbali, tunahitaji mwenye ujuzi na awe na uzoefu huo kwa kazi husika.
Kwa yeyote mwenye ujuzi huo namkaribisha
Pm
au email; godfreycyp@yahoo.com
Habari wana jamii napenda kuwatangazia pia ,japo wengi mnanijuwa kwa kuuza dagaa, pia nimewaongezea kuwauzia vumbi la dagaa kama chakula cha mifugo.
NAPATIKANA MWANZA-KIRUMBA-MWALONI.
0755213580.
BEI INABADILIKA KUTOKANA NA SIKU HIVYO UNAWEZA NIPIGIA SIMU.
Mkoani tunatuma haraka.
Wafugaji wengi hufanya makosa makubwa sana ya kuanza kujenga banda na hatimae kuanza kufuga, bila kuwaza namna ya kutengeneza chakula mwenyewe.
Bila kuwa na chakula chako mwenyewe, mifugo inatesa mno. Kuna wakati unatamani uchukue mahindi ya chakula cha watoto uyaparaze na kuyavunjavunja ili...
Licha ya Nchi ya Tanzania kuwa katika ukanda wenye hali ya hewa inayoruhusu uwepo na ukuaji wa viumbe wengi wakiwemo wadudu na mimea bado uwekezaji kwenye kilimo cha ufugaji wa wadudu lishe unaonekana kuwa wa chini sana ukilinganisha na nchi nyingine Duniani. Tanzania inaonekana kuwa nyuma sana...
Wakuu nauliza mashine za bei rahisi hasa hizi local za kusaga, kuchanganya na kutengeneza pellets za mifugo kwa hapa Tanzania zinapatikana wapi na kwa bei gani? Nataka hizi ndogo kabisa zinazotumia umeme wa single phase.
Sitaki majibu ya agiza China, ninajua China ipo na local zipo nataka hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.