chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Mbowe siyo Msakata Rhumba maarufu ndio sababu hadi sasa bado yuko Jukwaani japo muda umeisha!

    Mchungaji Msigwa amesoma Adui Namba Moja wa Demokrasia hapa Nchini ni Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Msigwa amesema kuna msemo unaosema "Msakata Rhumba maarufu anajua muda wa kuondoka Jukwaani" kwa bahati mbaya Mbowe amekaa muda mrefu na hana mpango wowote wa kuondoka. Soma Pia: Peter...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA imepoteza misingi, Malengo, Uelekeo na Madhumuni ya kuanzishwa kwake

    Kwa kutumia mifano na bila mihemko, Elezea kauli hiyo kwa kifupi huku ukibainisha kinaga ubaga, sabababu chache za msingi za chama hicho kupoteza nguvu, mvuto, umaarufu, ushawishi na kuaminika kwa wanachama wake na wananchi kwa ujumla? Soma Pia: CHADEMA hii ni fursa nyingine ya Chama...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA si ile yenye uwezo wa kukemea Rushwa na Ufisadi

    Kwa walio ushuhudia umri wa CHADEMA tokea kianzishwe ni wazi haupo wakati Chama hicho kinashuhudia wimbi la utengano uliyo bayana kama siku za hivi karibuni. Kutuhumiana wazi wazi pasi na uficho kuhusu rushwa, ghiriba na ufisadi wao kwa wao ndani ya Chama ni hoja endelevu hadi wakati huu isivyo...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla amkaribisha Lissu CCM, ajibu kuna nini mpaka ahamie huko?

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amemkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu kujiunga na chama hicho akidai tayari chama chake kimeacha misingi yake. Makalla ameeleza hayo Agosti 9, 2024 kwenye mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM, Dk...
  5. J

    JamiiForums Tanzania John Mrema: Hata mimi sitakuwa na sababu ya kubakia CHADEMA siku ikiondoka kwenye misingi yake kama alivyosema Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu

    Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na mambo ya nje CHADEMA John Mrema amesema Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu hajasema anahama CHADEMA bali alitumia kauli ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kusisitiza siku CHADEMA ikiondoka kwenye misingi yake na Yeye ataondoka Mrema amesema hata yeye hatakuwa na...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri kwa CHADEMA ili kushinda Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Jinsi ya CHADEMA kufanya vizuri kwenye uchaguzi wa 2025. 1. Kwanza, mgombea urais wa CHADEMA apatikane kwa njia ya primaries. Hii ndio njia tuliyokuwa tunaitumia huko nyuma. Hata wakati Mbowe anagombea urais wa 2005, tulitumia mfumo wa primaries. Kwa maana nyingine wanachama ndani ya Kanda ndio...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu wataje hao viongozi wa CHADEMA walionunuliwa kabla hawajaondoka na kuanza kukipaka chama matope

    Nakushauri Tundu Liissu utaje mapema iwezekanyo hio orodha ya wanachama wa CHADEMA walionunuliwa pamoja na huyo kiongozi kuliko kusuburi waanze kuondoka na kuanza kukipkaa chama matope kama anavyofanya sasa Msigwa ndio muanze kuwajibu kwani itakuwa ni too late. Kuna faida kubwa sana kuwaanika...
  8. JamiiForums Tanzania Ni wakati turuhusu New Breed CHADEMA

    Kutokana na sintofahamu kwenye chama Cha CHADEMA inayoendelea sasa hivi ndani ya chama hasa Viongozi kuhongwa na suala la akina Halima Mdee kurudishwa kwenye chama huko mbeleni, nina ushauri maalumu. Ushauri wangu ni kwamba CHADEMA ijikite kwenye damu changa na siyo kuendelea kuhangaika na...
  9. JamiiForums Tanzania Endapo Tundu Lissu akiamua kuondoka CHADEMA, ni athari zipi zinazoweza kuikumba?

    hivi karibini Tundu Lisu amesikika na kuonekana kukikosoa na kukilaumu chama chake mwenyewe kwa kukituhumu kwa kulea rushwa ambayo imekithiri kwa sasa, licha ya kwamba na yeye ni miongoni mwa waandamizi muhimu katika uongozi wa juu wa Chama hicho.. haijulikani na haijafahamika wazi ni kwanini...
  10. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 SWALI: Ikiwa ndani ya CHADEMA pia kuna harufu ya rushwa, ipo haja ya kupata chama kingine cha upinzani wa Kweli?

    Salaam, Shalom!! Haya pia ni madhara ya kubaki na chama kimoja kikuu cha upinzani. Tukijiuliza jwa sasa, CHADEMA bado kina sifa ya kuitwa chama kikuu cha upinzani, wangapi watakubaliana na HOJA hii ikiwa RUSHWA inayotajwa na viongozi ndani ya chama? Ok, Chadema wanashawishiwa kuhongwa, huyu...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimemdharau Tundu Lissu kwa kukataa hela/Mabilioni ya CCM kisa CHADEMA

    Salaam Lissu nilikuwa nakuheshimu sana. Umepigwa risasi sababu ya CHADEMA, umefungwa sababu ya CHADEMA, huishi kwa amani sababu ya CHADEMA. Leo unakataa ngawila sababu ya CHADEMA. Umelogwa au? Dunia Mungu akupe nini? CHADEMA Mbowe alishaiuza kwa Lowassa, sasa kaipiga mnada kwa Samia. Hadi...
  12. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hii ni fursa nyingine ya Chama kuimarika zaidi

    Waingereza walisema what does not kill you, leaves you stronger. Tukio baya ambalo halikusababisia kifo, hukufanya kuwa imara kuliko hapo mwanzo. CHADEMA kimepitia misukosuko mingi lakini chama hiki kimebaki kuwa imara zaidi kuliko siku za nyuma. Kuna kipindi miaka kama 8 hivi iliyopita chama...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Abdul alikuja nyumbani kwangu kunihonga akiwa na kiongozi wa CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA - Bara, Tundu Lissu akizungumza katika Mtandao wa Club House amesema kuna Kiongozi wa CHADEMA ambaye ameshanunuliwa kwa Fedha za Kuhongwa na mtu aliiyemtaja kwa jina la Abdul, alikwenda nyumbani kwake kwa lengo la kumhonga fedha ili aondoke CHADEMA na kujiunga CCM...
  14. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Kwa nguvu ile ile na Juhudi zile zile za CHADEMA nitazunguka nchi nzima kuelezea Utakatifu wa CCM, msidanganyike na Wapinzani

    Aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa amesema atatumia nguvu na Juhudi zile zile za CHADEMA kuzunguka nchi nzima kuelezea Mazuri na Utakatifu wa CCM Mchungaji Msigwa amewataka Wananchi wasikubali kudanganyika na Wapinzani kwani Shetani...
  15. JamiiForums Tanzania Kilicho dhahiri shahiri CHADEMA ni kwamba, makamu mwenyekiti taifa anamuogopa mno mwenyekiti taifa

    ni zaidi ya mara moja sasa huyu muungwana analalamikia nje ya reli kutuhumu chama chake mwenye kwa rushwa. na safari hii ameenda mbali zaidi na kutishia kukihama chama hicho. sasa sijui anamtisha nani pale chadema.. na mara zote amepuuzwa na viongozi waandamizi wenzake dhidi ya aina yake ya...
  16. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge 19 Kurudi au kutorudi CHADEMA, nini kifanyike?

    Kila tunapokaribia duru za uchaguzi wa Serikali za Mitaa vuguvugu na joto la siasa linapanda. Kuna suala la wabunge 19 walikuwa CHADEMA na ambao suala lao liko mahakamani. Hawa wabunge walifukuzwa uanachama na Kamati Kuu na kupata baraka za Baraza Kuu baada ya rufaa zao, na kisha suala hilo...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hakuna Uadui wala Urafiki wa Kudumu kwenye Siasa Lissu karibu CCM ulitumikie Taifa kwa maono uliyonayo

    Kwa namna Mch Peter Msigwa kada mpya wa CCM anavyoieleza CHADEMA ilivyo. Mhe Tundu Lissu sioni haja ya wewe kuendelea kujitesa ndani ya CHADEMA wakati wewe kwenye Taifa hili ni hazina Kila mmoja anajua na kukubaliana na hili. Mhe Tundu Lissu siku ukija CCM utapokelewa na marafiki zako...
  18. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu, kuna baadhi ya mambo busara inakutaka usiyazungumze in Camera mpaka inapokulazimu kufanya hivyo

    Nimekusikia ukinukuu BUSARA za Mwalimu Nyerere, lakini Mwalimu Nyerere busara zilimuongoza mambo mengine kuyazungumza in Camera na si hadharani. Nilitegemea majibu ya busara zaidi kuliko ulivyojibu. Pia soma: Kuelekea 2025 - Tundu Lissu: Tuhuma za Msigwa kwa CHADEMA zichunguzwe, sisi si...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Lissu karibu CCM Upumzike

    Mbowe na genge lake wanamtumia Lissu kama ndoano ya kuvutia pesa CCM Kwa hali ilivyo, Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe amekuwa akitumia gia ya kuwatisha Viongozi wa CCM kuwa endapo Lissu atakuwa mwenyekiti wa CHADEMA basi mambo kwenye Taifa hili hayatakuwa sawa Huenda CCM...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Lissu akihama CHADEMA atahama na wanachama zaidi ya asilimia 90

    Nimemsikia Lissu akinukuu maneno ya Hayati Mwalimu Nyerere aliposema kuwa CCM siyo Mama yake wakati wowote anaweza kuondoka vile vile Lissu naye kasema kuwa CHADEMA SIYO mama yake. Maneno haya Lissu ni mazito sana. Nadhani kuna tatizo ndani ya CHADEMA na hili linatakiwa lipatiwe ufumbuzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…