chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 PICHA BORA: Matukio ya Kuvutia ya kukumbukwa Lissu na Mbowe wakati wa Uchaguzi wa CHADEMA Taifa

    Chama cha Demokrasia na Maendelea kimefanya uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa Chama Taifa, licha ya chaguzi zingine kufanyika ndani ya Chama ila mafahari hawa wawili walitikisa anga la Siasa ndani na nje ya Tanzania kutokana na uswawishi wao mkubwa Kisiasa. Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu...
  2. JamiiForums Tanzania Katiba mpya sio Katiba ya CHADEMA au ya fulani ni Katiba ya Watanzania maskini

    Watu wanaposikia hoja ya katiba mpya wanazani ni katiba ya flani sijui ni ya chadema hapana ni katiba ya watanzania wote itakayo waweka kwenye viwango vingine vikubwa vya juu kidemokrasia, haki, uhuru na maendeleo endelevu kwahiyo Kuna haja ya kupata katiba mpya.
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu asifu uadilifu wa John Mnyika, namna alivyoendesha Uchaguzi na kumteua tena kama Katibu Mkuu CHADEMA

    Mwenyekiti mteule wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameeleza uadilifu wa John Mnyika na namna ambavyo aliendesha Uchaguzi wa ndani ya Chama. Soma, Pia: Tundu Lissu amteua John Mnyika kuwa Katibu Mkuu. Ateua Manaibu Katibu Wakuu na Wajumbe wa Kamati Kuu
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nafasi za wabunge 19 zingekuwa za wanaume CHADEMA isingepeleka watu? Wangefukuzwa kama ilivyokuwa kwa kina Mdee?

    Wakuu, Nimeangalia tu kwa angle nyingine, nafasi zile 19 ingekuwa ni kwaajili ya wanaume, unadhani wasingeenga wakamdindishia anko Magu? Wakina Halima huenda walikosea kwa kwenda wenyewe bila idhini ya chama (kama wanavyotuambia kuwa hawakurusiwa), lakini katika kipindi kile ambacho hakukuwa...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA watumie busara "NO REFORM, NO ELECTION" Haiwezekani muda umeshatuacha!

    Ukiangalia Ratiba kwa sasa imeshakua ngumu, Reform ni mchakato mkubwa unaohusisha mpaka Bunge, Bunge limebakiza takribani miezi sita tu kuvunjwa, hizo sheria na katiba atarekebisha nani? Mda umebaki kidogo sana hii kitu tumeshachelewa haiwezekani kabisa, hili vuguvugu ilipaswa lianze tangu...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Odero amesema ile kura moja aliyoipata ni ya mpiga kura, hata yeye hakujipigia Kura Uchaguzi CHADEMA

    Wakuu Mwanachama na aliyekuwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA, Odero Charles Odero amesema ile kura moja aliyoipata katika uchaguzi huo ni ya mpiga kura sio yake. Kwa maana hiyo hata yeye mwenyewe alishindwa kujipigia kura Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyetuhumiwa kupanga kumfukuza John Mrema CHADEMA akanusha

    CHADEMA wa Kata ya Segerea mkoani Dar es Salaam, Kitomary Steven, amekanusha vikali madai yaliyoenezwa mtandaoni kwamba amepanga kumvua uanachama John Mrema, Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA. Akizungumza na Jambo TV, Kitomary ameeleza kuwa taarifa hizo ni za uongo...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Makete: Tumebadili tu Gia, Mbowe hana baya

    Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Makete mkoani Njombe wamezungumzia uchaguzi wa viongozi wa chama hicho taifa pamoja na namna uchaguzi huo ulivyofanyika Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu kwa CHADEMA kufanya matembezi ya mshikamano nchi nzima kuunga mkono uongozi mpya na demokrasia ndani ya chama

    Mabalishano ya uongozi yaliyotokea hivi karibuni CHADEMA yamepokelewa vizuri sana na wapenda demokrasia ndani na nje ya nchi. Kuna umuhimu kwa wanachama wa CHADEMA na wapenda demokrasia wote kupongeza juhudi hizi kwa njia iliyotukuka kupitia matembezi ya mshikamano nchi nzima.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa CHADEMA umefungua njia kwa wanasiasa kutambua nguvu ya vijana, CCM wamebadili gia sasa wanaenda na vijana siyo wazee

    Kama wewe ni kijana na unaamini katika kulitumikia taifa kama diwani au Mbunge anza kujiandaa kwenda kugombea. Mfumo umebadilika na fikra zimebadilika. Wapiga kura sasa hivi ni vijana na vyama vimebaini umuhimu wa wagombea vijana Kipenga kimepulizwa anzenu kujinoa, msiseme hakuna mtaji. Mtaji...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Godbless Lema afichua mbinu alizotumia kumuombea Lissu Kura za Uenyekiti CHADEMA Taifa

    Wakuu Baada ya uchaguzi wa Januari 19-20, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, ameweka wazi mbinu alizotumia kuhakikisha Tundu Lissu anapata kura za kutosha kutoka kwa wajumbe na kuibuka mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa wa chama hicho. Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Lissu Bila Kukaa Kwenye Meza Ya Mazungumzo na CCM na Serikali yake hatafanikiwa kwa lolote lile

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna uwezekano kuna watu au kikundi cha watu au Wafuasi wa lissu wakawa na matumaini na matarajio makubwa sana na lissu kwamba anaweza badilisha au lazimisha kufanyika kwa jambo lolote lile analotaka au wanalolitaka wao kwa nguvu au mabavu au kwa shinikizo. Nipende tu...
  13. JamiiForums Tanzania Mbowe haraka atimuliwe ndani ya CHADEMA

    Mikakati ya Mbowe kumwengua Lissu kwenye nyadhifa ya vice chairman haikuwa bahati mbaya. Ilikuwa planned vizuri, na mwishowe angefukuzwa uanachama kwa hisani ya chama kile kilichofadhili kampeni na uchaguzi wa majuzi. Kumbakisha Mbowe CHADEMA ni hatari sana. Ni heri aondoke na siri za zamani tu...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu jinsi ya kujiunga Uanachama Wa CHADEMA Online

    Habari wadau..? Nimekua mshabiki wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa muda mrefu sana.. sasa naona ni Muda sahihi wa kua na kadi ya chama hichi hasa katika kipindi hiki ambapo tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu.. Naamini humu Kuna wanachama wengi wa Chadema, ningependa kujua je...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naiona kambi ya CHADEMA Kaskazini hiyoo inaeenda CCM

    Wanaukumbi Baada ya Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA kuisha na kupata viongozi wa wapya Mwenyekiti Tundu Lissu, na Makamu wake John Heche. Kama tulivyosikia na kuona hotuba ya Mwenyekiti aliyepita Freeman Mbowe, kuwa uchaguzi umeacha mpasuko mkubwa ndani ya chama ingawa hawa viongozi wapya...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA ni Moja, Wanaotaka kufukuza wenzao wadhibitiwe haraka

    Natoa onyo kwa kikundi kinachoratibu Kufukuza wengine ndani ya CHADEMA, sitaki kuamini kwamba Katibu Mkuu na Mwenyekiti mpya mnaweza kupanga jambo hili duni na la kijinga, kemeeni jambo hili haraka sana, Uchaguzi umekwisha kwa tofauti ya kura 31 tu, kimsingi hakuna aliyeshinda bali Mshindi wa...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Hoja ya Chadema kutaka Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 imechelewa

    Unaweza ukawa ni mvutano mpya kuhusu Katiba kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Stephen Wasira, kusema kuwa hoja ya kutaka mabadiliko ya Katiba kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 imechelewa. Wasira ametoa...
  18. JamiiForums Tanzania Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume "patriarchy"

    Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume baada ya picha iliyoonyesha wanaume tu wakiwa wamesimama kwenye jukwaa kuu katika mkutano uliomalizika jana Mlimani city. Picha hiyo iliwekwa na Janeth Rithe ambaye ni mwenyekiti wa ngome ya wanawake wa chama cha ACT...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakati mwingine, mwanasiasa huamia chama kingine ili kupumzisha akili, Msigwa rudi chadema!

    Asalaam aleykum, Nianze moja kwa moja, historia hii ya kuama vyama na kwenda kwingine siyo hadithi ngeni, hata Makamu mwenyekiti CCM, bara aliwahi kuwepo chadema kwa mapumziko, na ilipo fika wakati alirejea CCM. In short Msigwa rudi nyumbani, hakuna aibu yoyote, rejea mapema tujenge chama...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: Wanataka kunifukuza uanachama. Wameshinda uchaguzi sasa hawataki wengine tuseme

    Ameandika Mrema kupotia ukurasa wake wa X, "Nimejulishwa na mwenyekiti wa tawi langu, ameagizwa anifute uanachama kabla ya kesho ili kama nitaendelea na nia yangu ya kuzungumza na vyombo vya habari basi niwe sio mwanachama! "Nimeshangaa sana maagizo hayo na mpango huo ambao unaratibiwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…