chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ester Bulaya: Lissu ana uwezo wa kutufikisha kwenye Demokrasia ya kweli. Apongeza CHADEMA kwa Uchaguzi Uhuru na Haki Bungeni Dodoma

    Wakuu Mbunge wa Viti maalum, Ester Bulaya amekipongeza chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe na Mwenyekiti mpya Tundu Lissu kwa Uchaguzi Uhuru na Haki akiwa Bungeni. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Msanii aimba 'CHADEMA unaishindaje', wimbo wa Harmonize kwenye mapokezi ya John Heche

    Msanii aimba remix ya wimbo wa Harmonize kwa kweka mistari ya "CHADEMA unaishindaje, kwenye mapokezi ya John Heche nyumbani kwao Tarime
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Rais Samia aliita vyama vya Siasa, CHADEMA hawakuja kwenye maridhiano

    "Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani aliita vyama kule Dodoma na nchi hii ina vyama 19 vilihudhuria vyama 18 kwenye huo mkutano. "Na Rais alikuwa akizungumzia kuhusu 4R maridhiano. Na katika vyama hivyo CHADEMA haikuwepo. "Na Rais akizungumzia kuwa na mfumo wa maridhiano ambao...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu anaipa ushindi CCM mapema sana

    Kwanza,kwenye chama chake tu kuna watu zaidi ya 40% hawamkubali,hiyo imethibitika kwenye uchaguzi mkuu wa chama,hata kama atapambana kuwarudisha, hutawarudisha wote.wengine atakua nao ila hawatakua upande wake abadani,na huo ndio ukweli akubali ukatae! Hoja ya kugomea uchaguzi na kutangaza...
  5. JamiiForums Tanzania LISSU na Msimamo wa CHADEMA, Je ni Faida au Hasara?

    1. Je, CHADEMA wanaweza kususia uchaguzi, NDIO, wanaweza kama chama lakini kwa sasa wametangaza hawatasusia uchaguzi, kwasababu waliwahi kuona madhara yake. Ukisusa wenzako wala 2. Je, CHADEMA wanaweza kuzuia Uchaguzi? HAPANA hiyo sio kazi yao, mwenye mamlaka ya kutangaza na kuhairisha uchaguzi...
  6. JamiiForums Tanzania Mabeberu wanaisadia CCM au CHADEMA?

    Serikali ya Tanzania kwa sasa inaendeshwa na CCM. Kwa ivo kila jambo linalotendwa na serikali hapa nchini ni lazima iwe ni matokeo ya maelekezo ya CCM. Hivi karibuni Serikali ya Marekani chini ya uongozi wa Donald Trump imezuia misaada Kwa nchi mbali mbali duniani kupitia shirika lake la...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Tundu Lisu Leo imenifumbua macho kwanini Magufuli alitaka kumteua awe Mwanasheria Mkuu, Tundu Yuko Vizuri kichwani!

    Shujaa Magufuli 2020 akiwa Ikungi alikiri mbele ya Wazee wa Lisu kwamba alitamani sana kufanya kazi na kijana Wao lakini alikataa Leo Tundu Lisu alikuwa anapangikia maneno kama wale Wanasiasa nguli Wabobezi wa Sheria Nchini Kenya Kalonzo Musyoka na Prof Kindiki Mlale Unono Chadema 😄
  8. M

    JamiiForums Tanzania Chadema waanza omba omba

    Ktk account yake ya X, lema amewataka Watanzania kuchangia fedha chadema na kuweka account. My take. Walisema mbowe hakuandaa vianzio vya mapato na kufanya chama omba omba Leo hii mwezi tu chama kitandika bakuli la omba omba. Lissu kaanza kufeli mapema, omba omba imekuwa kubwa
  9. JamiiForums Tanzania EAtv saa 1 kwanini mmepotosha maelezo ya mwenyekiti wa CHADEMA

    Kwenye taarifa ya habari ya leo saa 1 jioni ilikuwepo taarifa ya mwenyekiti wa Chadema kuhusu uchaguzi mkuu ujao, mhe. Lissu kwenye maelezo yake amesema Chadema haitasusia uchaguzi, lakini maandishi kuhusu maelezo yanasema Chadema itasusia uchaguzi! Upotoshaji huu ni kwa manufaa ya nani? EATV...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rasmi: CHADEMA imepevuka kustahili kupewa dola

    Hiki Chama ama kweli kimenivutia. Hiki chama kweli kimeshakuwa na sasa kinaonesha ni chama kinastahili kuwaongoza Watanzania. Walianza kwa kuwaonyesha Watanzania namna gani Uchaguzi huru na haki unapaswa kuwa kupitia uchaguzi wao wa Viongozi. Sasa Watanzania wote tunajua namna uchaguzi huru na...
  11. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Tunawakaribisha Watanzania wote wajiunge na CHADEMA, Jambo la wengi ni Jambo la Mungu

    Hotuba ya kuchoma kumoyo kutoka kwa Tundu Lissu. Mh Mwenyekiti wa Chadema amewaomba kwa unyenyekevu watanzania wote wajiunge na Chama hiki kinachotetea Haki za Taifa. Amemaliza kwa kusema Jambo la Mungu ni jambo la wengi na penye haki Taifa linainuliwa. Hata hivyo amewaomba vyama vyote vya...
  12. JamiiForums Tanzania John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA anatema cheche muda huu mjini Tarime

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, John Heche leo Jumatano Februari 12, 2025, anazungumza na wananchi wa Tarime Fuatilia hapa kinachoendelea kutoka mjini Tarime https://www.youtube.com/live/3vCV_A7LVeI John Heche anasema "Hapa ndio Tarime, leo nimesimama...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Tuungane na ACT ili iweje? Tukishirikiana na vyama vingine kwenye Uchaguzi, tunaenda kuliwa vichwa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu siku ya leo Jumatano Februari 12, 2025. anazungumza na wanahabari Makao Makuu ya chama hicho mkoani Dar es Salaam Endelea kufuatilia uzi huu hapa Jamiiforums kupata updates kuhusu hotuba hii...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mamia ya Wananchi wa Kiloleni wamlaki Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche akiwa njiani kwenda Lamadi-Simiyu kwa Mapokezi

    Wakuu Mamia ya Wananchi wa kijiji cha Kiloleni-Busega wamejitokeza Kumlaki Mhe. Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa, John Heche akiwa njiani kuelekea Lamadi huko Simiyu kwenye Mapokezi baada ya kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Pia, Soma: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche: Mimi na Lissu tutapiga nchi hii haijawahi kutokea. Hatuogopi chochote

    Wakuu, Muda wowote kutoka sasa Heche atatua hapo Lamadi, Simiyu ambako anatarajiwa kutoa neno, ambako ataenda Bunda na Kisha kumalizia Tarime Mjini kabla ya kupokelewa rasmi kesho Februari 13, 2025. Akizungumza huko Tarime, Heche amewahasa wananchi wa Tarime kuiunga mkono CHADEMA kutokana na...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA, Mara Heche: Wasira aachane na vijana, afanye mambo ya umri wake

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara Chacha Heche amemuomba Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira kuacha kutumia majukwaa kutoa kauli tata ambazo hutolewa na vijana kwani akiendelea kufanya hivyo itampunguzia heshima kutokana na umri...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Waondoleeni wananchi hofu dhidi ya matendo ya CCM,vitisho na kusakamwa na CCM

    Ukikaa na wananchi wengi wanaunga mkono mabadiliko na wanatamani sana madadiliko nchini, wamechoshwa kabisa na mambo ya CCM pamoja na ubinafsi wa CCM , ila tatizo kubwa ambalo kama chama mnatakiwa kulifanya ni kutafuta namna ya kuiondoa hofu iliyopo ndani ya wananchi dhidi ya matendo ya CCM...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Nyamagana: Hakutakuwa na Uchaguzi bila maboresho

    Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, Amos Ntobi, amesisitiza kuwa CHADEMA haitakubali kufanyika kwa uchaguzi wowote wa kitaifa ikiwa hakutakuwepo na maboresho na marekebisho katika mifumo ya uchaguzi. Akizungumza na Jambo TV kuhusu kauli ya...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Hatuwezi shindana na nusu CHADEMA, Ikulu wataiona kwenye Runinga

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa mgawanyiko ndani ya CHADEMA unazidi kudhoofisha nafasi ya chama hicho kushindana na CCM katika uchaguzi ujao, akisisitiza kuwa hadi sasa hakuna chama mbadala chenye uwezo wa kuiondoa CCM madarakani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…