Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Antiphas Lissu ameamua kumtangaza aliyekuwa mgombea wa nafasi ya uenyekiti katika kijiji cha Ntalamila wilayani Nkasi mkoani Rukwa, ikidai kuwa alishinda katika uchaguzi huo na hakutangazwa
Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema Chadema hawawezi kuuzuia uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika mwaka huu, kwani upo kikatiba na sheria.
Makalla ameyasema hayo Jumamosi Machi 22, 2025 akizungumza na wanachama wa chama hicho mkoani Simiyu...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema "Msimamo wetu upo wazi, bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi na hatutashiriki uchaguzi"
Pia, Soma
John Heche: Tumeamua kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki. Tutawashirikisha Viongozi wa dini, mashirika ya kimataifa, balozi na NGO's...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.