chadema g55

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Burning Spear

    Wanaohama chadema G55. Wahame kwa maandishi wasiishie kuita Press tu. Watakuja kuruka baadae

    GT. Chadema hakikisheni hao wapuuzi wanakabidhi nyaraka za kuhama chama la sivyo.muwafukuze au muendlee kuwatambua. Najua ujinga wa CCM wanaweza kurudi kwa mlango wa nyuma wakidai ni wanachama halali na kuanza kuvruga tena kwa Mara nyingine. Chukueni hii tahadhari. Pili Pangeni kampeni ya...
  2. Cute Wife

    PreGE2025 Julius Mwita: Hakuna aliye nyuma ya G55, haya ni mawazo yetu!

    Wakuu, CCM B mfitufanye wajinga bana, mnakataa wenyewe makubaliano yenu utafikiri sio nyinyi mlioshiriki kuyaweka halafu mnasema hakuna aliye nyuma yenu, na hao wauza majimbo pembeni hapo? :BearLaugh: :BearLaugh: ===== "G55 ni kundi la wagombea ubunge wa mwaka 2020 na watia nia wa mwaka 2025...
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Julius Mwita: G-55 inataka CHADEMA iende kwenye uchaguzi

    Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA, Julius Mwita, amewapongeza Tundu Lissu na John Heche kwa ujasiri wao, akisema ni viongozi wanaoweza kuleta hamasa kubwa wakati wa uchaguzi. Akizungumza kupitia Clouds FM, Mwita amesema; "G- 55 haiwavurugi watu ila watu ndio wanajivuruga, sisi...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Lema kuanika hadharani majina ya vigogo waliopo nyuma ya pazia sakata la G-55

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema anapanga kuweka hadharani majina ya vigogo wanaodaiwa kuwa nyuma ya pazia la sakata la G-55, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakinufaika kifedha kupitia mradi huo huku wengine wakitumika kama...
  5. The Palm Beach

    PreGE2025 Frank Nyalusi: G55 ni kikundi cha wasakatonge. Wamefeli hata kabla hawajaanza

    https://youtu.be/Fb3MoEVaBF0?si=wM-FkXAimnUm9d2R ➡️Huyu ni katibu wa CHADEMA mkoa wa Iringa, Kanda ya Nyasa.... ➡️Awaonya kutumia jina la G55 la wazee wa zamani, wazee wa heshima waliokuwa wanaipigania Tanganyika... ➡️Awapa jina sahihi linalowastahili kuwa wanapaswa kuitwa "Kikundi cha Wasaka...
Back
Top Bottom