cecilia paresso

Cecilia Daniel Paresso (born November 22, 1981) is a Tanzanian politician and a member of the CHADEMA political party. She was elected as a member of the Special Seats in 2015. She has bachelor degree from the Open University of Tanzania in 2011. [1]

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Cecilia Daniel Paresso asisitiza ushirikishwaji wa Wananchi katika Sheria ndogo Serikali za Mitaa

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo, Cecilia Daniel Paresso amesisitiza ushirikishwaji wa wananchi wakati wa utungaji na uhuishaji wa Sheria Ndogo za Mamlaka za Serikali za Mitaa, ili kuwajengea wananchi uelewa wa sheria hizo ambao utawezesha utekelezaji wake katika Mamlaka...
  2. JamiiForums Tanzania Bunge lawathibitisha Pareso, Mwanyika, Giga kuwa wenyeviti wa Bunge

    Bunge la Tanzania leo Jumatano, Januari 28, 2026 limewathibitisha wabunge, Deo Mwanyika, Cecilia Pareso na Najma Murtaza Giga kuwa wenyeviti wa Bunge. Watatu hao wamethibitishwa baada ya Spika wa Bunge, Mussa Zungu kuwahoji wabunge kama wanaafiki kuwa wenyeviti. Wabunge hao waliteuliwa na...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Cecilia Paresso: Watanzania kapigeni kura kwa usahihi ili kuepuka kura zao kuharibika

    Cecilia naona hela inafanya kazi! Maana unajituma kuzipiga hizo kampeni kwa Samia. Au unautafuta uteuzi? ================= Aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso ametoa wito kwa wapiga kura kupiga kura kwa usahihi ili kuepuka kura zao kuharibika. Ametoa wito huo...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Paresso: Samia ana sifa za kutosha kuongoza nchi

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso amewaomba wananchi wa jimbo la Kakonko kumchagua Mgombea Urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kile alichoeleza kuwa mgombea huyo ana sifa zote za kuiongoza nchi. Paresso ameyasema hayo Oktoba 12 alipokuwa akizungumza na...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Cecilia Paresso: Samia na Nchimbi kwa pamoja wanaenda kujenga taifa lenye umoja na mshikamano

    Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM Cecilia Paresso ametoa wito kwa wananchi wa Rufiji kumpigia kura mgombea Urais wa chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan na mgombea Mwenza Dkt. Emmanuel Nchimbi kwani viongozi hao watapochanguliwa watajenga taifa lenye mshikamano, umoja na maendeleo kwa wote...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Paresso: Chama cha siasa kinachosusa na kuingia mitini chama hiko hakifai

    Aliyewahi kuwa mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso amesema lengo la chama cha siasa ni kushika dola kupitia uchaguzi hivyo inapotokea chama kikasusia anadai chama hicho hakifai. "kama tunavyofahamu malengo makuu ya chama cha siasa ni kushiriki uchaguzi ili kuweza kushika dola...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Cecilia Paresso: Wagombea wa CCM ndiyo wanatambua thamani ya utu na maendeleo ya Tanzania

    Kampeni kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 zimezidi kupamba moto huku makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiendelea kufanya mikutano maeneo mbalimbali kusaka kura kwa wagombea. Cecilia Paresso, ambaye alikuwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paresso: CCM ndiyo Chama kinachoweza kuongoza nchi hii

    Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Cecilia Paresso amesema kutokana na utekelezaji wa miradi ya maendeleo uliofanywa na CCM, chama hicho kinakuwa chama pekee kinachofaa kuendelea kuongoza nchi Paresso ambaye alikuwa mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha na kwa muda mrefu kada wa CHADEMA kabla ya...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Cecilia Paresso: Rais Samia amejenga shule za wasichana kwa michepuo ya Sayansi shule 26 katika mikoa yote Tanzania Bara

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso ameainisha sababu za Watanzania kumpa kura Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara mbele ya mgombea mwenza wa Urais Dkt. Emmanuel Nchimbi uliofanyika mkoani Arusha...
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paresso: Samia ameondoa hofu kwa wafanyabiashara

    Aliyekuwa mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Arusha, Cecilia Paresso, amewataka wananchi wa Kilimanjaro kumpa kura za kishindo mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ifikapo Oktoba 29, akisema ameweka mazingira bora kwa wafanyabiashara nchini. Akizungumza jana Jumatatu...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Paresso: Reforms tulizozitaka tukiwa CHADEMA zimefanyika CCM

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Cecilia Paresso amesema kuwa "No reforms no election" ilishafanyiwa kazi ndani ya Bunge ikiwemo mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi na mabadiliko ya sheria na utekelezaji wake umeanza katika uchaguzi wa mwaka huu. Soma pia...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Cecilia Paresso aeleza sababu za kujiunga CCM ambazo ni pamoja na kuvutiwa na sera pamoja na siasa za maridhiano

    Mwanasiasa machachari na aliyewahi kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Cecilia Paresso, ambaye pia aliweka nia ya kuwania ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) hivi karibuni, ameeleza sababu za kujiunga na chama hicho ambazo ni...
  13. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Kambi ya Upinzani: Bajeti Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

    HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA WAZEE NA WATOTO, MHESHIMIWA CECILIA DANIEL PARESSO (MB), KUHUSU UTEKELEZAJI WA MPANGO WA MAENDELEO MWAKA WA FEDHA 2018/19 NA MPANGO WA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA, KWA MWAKA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…