Cecilia Daniel Paresso (born November 22, 1981) is a Tanzanian politician and a member of the CHADEMA political party. She was elected as a member of the Special Seats in 2015. She has bachelor degree from the Open University of Tanzania in 2011. [1]
Cecilia naona hela inafanya kazi! Maana unajituma kuzipiga hizo kampeni kwa Samia. Au unautafuta uteuzi?
=================
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso ametoa wito kwa wapiga kura kupiga kura kwa usahihi ili kuepuka kura zao kuharibika.
Ametoa wito huo...
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso amewaomba wananchi wa jimbo la Kakonko kumchagua Mgombea Urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kile alichoeleza kuwa mgombea huyo ana sifa zote za kuiongoza nchi.
Paresso ameyasema hayo Oktoba 12 alipokuwa akizungumza na...
Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM Cecilia Paresso ametoa wito kwa wananchi wa Rufiji kumpigia kura mgombea Urais wa chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan na mgombea Mwenza Dkt. Emmanuel Nchimbi kwani viongozi hao watapochanguliwa watajenga taifa lenye mshikamano, umoja na maendeleo kwa wote...
Aliyewahi kuwa mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso amesema lengo la chama cha siasa ni kushika dola kupitia uchaguzi hivyo inapotokea chama kikasusia anadai chama hicho hakifai.
"kama tunavyofahamu malengo makuu ya chama cha siasa ni kushiriki uchaguzi ili kuweza kushika dola...
Kampeni kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 zimezidi kupamba moto huku makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiendelea kufanya mikutano maeneo mbalimbali kusaka kura kwa wagombea.
Cecilia Paresso, ambaye alikuwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa...
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso ameainisha sababu za Watanzania kumpa kura Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan.
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara mbele ya mgombea mwenza wa Urais Dkt. Emmanuel Nchimbi uliofanyika mkoani Arusha...
Aliyekuwa mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Arusha, Cecilia Paresso, amewataka wananchi wa Kilimanjaro kumpa kura za kishindo mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ifikapo Oktoba 29, akisema ameweka mazingira bora kwa wafanyabiashara nchini.
Akizungumza jana Jumatatu...
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Cecilia Paresso amesema kuwa "No reforms no election" ilishafanyiwa kazi ndani ya Bunge ikiwemo mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi na mabadiliko ya sheria na utekelezaji wake umeanza katika uchaguzi wa mwaka huu.
Soma pia...
Mwanasiasa machachari na aliyewahi kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Cecilia Paresso, ambaye pia aliweka nia ya kuwania ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) hivi karibuni, ameeleza sababu za kujiunga na chama hicho ambazo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.