cdf mkunda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Burning Spear

    Maajabu ya CDF Mkunda na jeshi letu linalodhalilika.

    GT CDF... Kutuma jeshi kwenye mission dhaifu ni kulidhalilisha jeshi na kuonesha mapungufu ya sekta ya ulinzi nchini Kutuma jeshi kwenye kuzuia maandamano na wanaandamanaji wenye mawe ni udhaifu Kutuma jeshi kwa lengo la kutisha waandamanaji ambao ni vijana wasio na siraha ya moto ni udhaifu...
  2. Fbn

    PostGE2025 CDF Mkunda umeshusha heshima yako

    CDF wa jeshi ni kitu kikubwa sana ila kwa kilichotokea Mo29 hata uwezo wako umefanya kuwa ni mgambo pro max. Kwa mauaji yale na uchaguzi ambao hata kudanganya wakapitiliza kabisa na yote bado unawezaje kujisema ni CDF. Mimi sio mtabiri ila naiona Tanzania kuwa Sudan ya baadae ambayo wewe CDF...
  3. JOANNA

    "General Mkunda wewe ndio uliyebakia" - Augustino Polepole

    Augustino Polepole ambaye katika jumbe zilizopita amejiwakilisha kama Kanali wa NATO, amemtumia ujumbe General Mkunda. Katika taarifa yake amezungumza mambo mengi ya binafsi na yamkini mengine ni codes ambazo hatuwezi kuzielewa. Lakini ninafikiri sauti yake ni muhimu katika kipindi hichi kigumu...
  4. mwehu ndama

    Hii ndiyo sababu ya ukimya wa CDF MKUNDA

    Binafsi nimeanza kupata hisia tofauti juu ya ukimya wa mkuu wa majeshi nchini afande, chief of defense forces Jacob john MKUNDA licha ya clip yake ya jana. Vipi maoni yenu wakuu?
  5. Common Folk

    GE2025 CDF Mkunda: Wanaofanya vitendo vya kihalifu waache mara moja na wananchi endeleeni kuwa watulivu

    Ametoa agizo kupitia TBC, ITV. Video:
  6. Lord Denning

    GE2025 CDF Mkunda ameamua kusimama dhidi ya wananchi. JWTZ mnajua cha kufanya. Madagascar ni case study nzuri

    Siku zote Jeshi letu lina kiapo Kikuu cha kusimama na Wananchi na Katiba. Wananchi wameamua hawawataki CCM na samia wao na Jeshi linapaswa kusimamia matakwa ya Wananchi. Wananchi wamesema hawautambui uchaguzi maana ulikuwa ni uchafuzi hivyo Jeshi linapaswa kusimama na Wananchi. Dunia inajua...
  7. M

    DOKEZO CDF Mkunda, angalia watu wanaokuja na majina mfukoni ili kwenda JWTZ badala ya kufuata utaratibu

    CDF Mkunda kwanza kabisa hongera kwa kuteuliwa kuwa mkuu wa majeshi.Najua unachangamoto kubwa Sana ya kubadili mfumo mbovu wa ajira au uandikishaji wa vijana JWTZ mfumo ambao uliopita ulikua ni mfumo mbovu ambao haujawahi tokea takribani muongo mmoja uliopita. Kwanza vijana hawakupata ajira...
Back
Top Bottom