ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 Godbless Lema awasha Moto wa Uzinduzi Arusha, CCM tumbo joto

    Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini ambaye pia ni Nabii wa Mungu ambaye Unabii wake Nchini Tanzania umetimia na Kupitiliza, Godbless Lema, leo Amezindua rasmi Kampeni za uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za mitaa za Chama chake huko Arusha. Lema kwa Ufupi amewaambia Wananchi wasiichague ccm na...
  2. JamiiForums Tanzania Vurugu kali zimezuka Uwanja wa CCM Kirumba wakati Simba SC ikifanya mazoezi kuelekea mechi ya Ligi na Pamba Jiji

    Vurugu zimetokea wakati Simba SC ikifanya mazoezi yake ya mwisho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza Kuelekea Mchezo wa Kesho wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Pamba Fc dhidi ya Simba SC. Wakati vurugu hizo zikiendelea zimepelekea mazoezi kushindwa kuendelea. Soma Pia: Ahmed Ally awahofia...
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 Sera za Wagombea uongozi wa CCM zinawasilishwa kwa umahiri, hekima, busara na heshma kubwa sana ukilinganisha na vyama vingine vya siasa

    Vipaumbele vya wagombea uongozi wote wa CCM, vinaelezwa kwa ufasaha, umakini na kwa mpangilio mzuri sana na unaeleweka kirahisi kwa wapiga kura. Hii imechochea hamasa kubwa mno kwa wapiga kura wengi zaidi, tena wa vyama vyote vya siasa kujitokeza na kuwasikiliza wagombea vijana wasomi wa CCM...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: Mwenyekiti wa kijiji aliyemaliza muda wake kupitia CCM amuombea Kura Mgombea wa ACT Wazalendo

    Wakuu! Tuseme hii ndiyo siasa bora au kuna kanamna fulani hivi kati ya ACT Wazalendo na CCM? =================== Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Ilalanguru, Jimbo la Kigoma Kusini, mkoani Kigoma kwa tiketi ya CCM, Venance Chamaheke amemuombea kura mgombea wa ACT Wazalendo wa nafasi hiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Tukisema ndani ya CCM, ACT-Wazalendo na CHADEMA kuna mfumo unaonufaisha wachache na CCM, tunakosea?

    Binafsi ninaweza nisiwe mwanasiasa mzuri lakini nionavyo mimi ni kwamba ACT na CHADEMA wananufaika na uwepo wa CCM, na CCM wananufaika na uwepo wa hawa ACT, CHADEMA. Sasa kwa mfumo kama huu inamaana CCM itaendelea kuwepo madarakani kwa miaka mingine mingi Sikatai kama huku CHADEMA na ACT...
  6. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenezi wa CCM Taifa Amos Makalla anaongea kwenye Ufunguzi wa Kampeni za CCM Kigamboni

    Katibu Mwenezi wa CCM Taifa, Amos Makalla anaongea kwenye Ufunguzi wa Kampeni za CCM Kigamboni https://www.youtube.com/watch?v=KAib-FeKy1c
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 Dodoma: Uchaguzi wahairishwa kwa sababu ya kifo cha mgombea wa CCM

    Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya jiji la Dodoma, Dkt. Frederick Sagamiko ametangaza kuahirishwa uchaguzi kwa nafasi ya wajumbe mchanganyiko katika mtaa wa Mwangaza jijini humo kwa mujibu wa Kanuni NO. 21 (ii) ya Kanuni za Uchaguzi Mamlaka za Mitaa, ngazi ya miji kutokana na mgombea wa nafasi...
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM Mkoa wa Simiyu: Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimezindua rasmi kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, ikiwa ni hatua muhimu katika kuhakikisha wananchi wanashiriki kikamilifu katika uchaguzi huu muhimu. Uzinduzi wa kampeni hizi umefanyika katika kijiji cha Dutwa, Wilaya ya...
  9. JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto Kabwe: Kuliko ibaki CCM pekee, kapigeni kura za hapana

    Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amezungumza kwa msisitizo kuhusu mapambano ya chama hicho kuhakikisha uchaguzi wa serikali za mitaa unafanyika kwa haki, huku akiwataka wananchi wa kijiji cha Ilalanguru, Jimbo la Kigoma Kusini, mkoani Kigoma kuchagua viongozi wanaowajibika...
  10. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu: Kama Mnaogopa Mabomu, Mkalale Mshughulikiwe na CCM. Ukiogopa Mabomu Kalale Uchunwe Ngozi na CCM

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Bara Tundu Lissu, amewataka wanachama wa chama hicho kutokuwa waoga katika kukabiliana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchauzi huu wa Serikali za Mitaa na kuwataka kutokuwa waoga wa mabomu. Lissu ameyasema hayo wakati akisalimiana na wananchi wa Kata ya...
  11. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mizengo Pinda ajitokeza kwenye kampeni za CCM Mtwara. Ataka wagombea wasibweteke baada ya ushindi wa kishindo 2019

    Wanabodi, Wakuu huyu baba alikuwa wapi siku zote? Kwani bado yupo kwenye siasa? Mlezi wa CCM Mkoa wa Mtwara, Mizengo Pinda, amewahimiza viongozi na wanachama wa chama hicho kutobweteka na mafanikio ya uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa, ambapo maeneo mengi yalishinda bila kupingwa...
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa CCM Dodoma: Tukiona kiongozi wa mtaa anavimba kama harage lililopikwa baada ya kushinda, tutamuondoa

    Wakuu, Inaonekana baada ya kumaliza kutishia wapinzani, wameanza kutishiana na kusimangana wenyewe ndani ya chama Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewataka wagombea wa serikali za mitaa kuacha kujikwenza mara baada ya kuchaguliwa kwenye nafasi hiyo na...
  13. K

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Hesabu na namba zinavyoibeba CCM kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa. Naiona 95 kwenye kila 100 kwa CCM kila mahali

    Bila shaka dunia ya sasa bila kutumia sayansi ya namba mambo mengi utaona magumu hususani yale mambo yanayohitaji namba ziseme zaidi kuliko maneno na mojawapo ni ushindi wakati wa uchaguzi. Kila uchaguzi unahitajika kufahamu hesabu na namba ili kujihakikishia nafasi nzuri ya ushindi. Hesabu na...
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Jokate: CCM ndio chama kinachoheshimu Demokrasia

    Wakuu, Ya kweli hayo? Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 ===== Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo, amezindua rasmi kampeni za...
  15. JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM Yazindua Kampeni Nchi Nzima; Hoja Kuu ni Mbowe, Lissu na Chadema, Aibu Kwao

    Jana ilikuwa uzinduzi wa kampeni za CCM sehemu mbalimbali na kwa maajabu makuu hoja kuu yao ni kumzungumzia Mbowe na Lissu kama sera yao. Wameamua kumuibua hadi yule mpiga kelele wa goli la mkono toka makaburini kuja kuwatia nguvu wakati Makonda juzi kwenye mkutano wake kadhibitisha kuwa wale...
  16. JamiiForums Tanzania LGE2024 Ezekiah Wenje: Siasa sio ya Kubembeleza, CCM tutaenda nao Mperampera. Ukishapiga kura linda kura

    *Walisema chadema wqnachelesha maendeleo. Kuanzia Rqis hadi balozi sasa wote ni CCM, Maendeleo yapo wapi? *Siku ya kupiga kura, piga kura, nenda kale rudi kuweka kambi kwenye kituo. Kanuni haijasema piha kura uende nyumbani ukalsle *Hatuwezi kukubali muwe mnatuibia kura halafu tupeane maji...
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 Makalla: Chagueni wagombea wa CCM wale wa CHADEMA Mbowe kasema hawana ILANI ni hatari kuwa na kiongozi bila kuwa na Mkataba wa atakufanyia nini

    KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC ) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi,Siasa na Mafunzo CPA Amos Makala amesema amemsikia Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe Akieleza kuwa Chama chake hakina Ilani na wagombea wao watatakiwa kubuni buni Ilani tu. CPA Makala ameyasema hayo leo Novemba...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Leonce Marko Kada wa CHADEMA atimkia CCM

    Wakuu, Naona besti wa Msigwa kaamua amfuate CCM. Je, fukuto la CHADEMA litatoa kiongozi mwingine kwenda CCM? Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
  19. JamiiForums Tanzania LGE2024 Nape: Wapinzani wanagombana, hawana namna, Samia atakuwa Rais kwa mara nyingine tena!

    Wakuu, Mambo yanaanza kuchangamsha, bumunda karudi na makeke yake mzee ropo ropo! ===== Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Nape akiwa...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Mwenyekiti CCM Tanga (MCC) akabidhi Milioni 2 kwa wauza samaki ili kukuza mtaji

    Wakuu, Tunaendelea kwenye episode nyingine ya rushwa ambayo huwezi kuona TAKUKURU wakiipigia kelele. ==== Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kimeiagiza Serikali ya Wilaya ya Pangani kuhakikisha kinatenga eneo maalum kwa ajili ya wajasiriamali wadogo wanaojishughulisha na kuuza Samaki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…