ccm imara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Burning Spear

    Chini ya kikwete huwezi kupata CCM imara

    GT Kati ya watu ambao waliiokoa CCM kimawazo hasa siku za hivi karibuni alikuwa ni hayati Ben Mkapa kikwete ilikuwa imeshamshinda. Ujio wa Magufuli ulirudisha heshima na nguvu ya chama lakini kikwete hana nguvu hiyo ni mstaafu lakini ana makundi. CCM ina bahati.mbaya sana Kuwa na mstaafu wa...
  2. Blood of Jesus

    CCM imara inauhitaji upinzani imara

    Mimi nikiwa mtumishi wa Mungu ninawatakia kila la heri CHADEMA katika uchaguzi wao wa viongozi wa ngazi za juu wa leo tarehe 21/01/2025. Ninawatakia uchaguzi wenye amani, huru na haki katika kuwapata viongozi hao. "chama legelege huzaa serikali legelege" Mungu ibariki Tanzania, ibariki...
  3. T

    PreGE2025 LGE2024 Hivi inakuwaje CCM imara kabisa itumie njia za gizani gizani kushinda uchaguzi!?

    Machawa humu ndani wanasifia kila kukicha kwamba ccm ni chama imara sana, ni kwa nini wanatumia mipango myeusi myeusi kushinda chaguzi!? Maana walisema yaliyotokea 2019 hayatatokea tena. Hawa wanaokiri kwamba 2019 hali haikuwa sawa ndio haohao walikuwa wanasifia sana wakati huo ila leo...
  4. Suley2019

    PreGE2025 Rais Samia: Bila CCM imara Tanzania itayumba

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaomba Machifu kuhamasisha watu waowaongoza kuchagua vongozi kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi mdogo utakaofanyika mwaka huu kwani chama hicho kimekuwa kikisimamia serikali vizuri. Akizungumza na Machifu hao leo Jumamosi Julai 20 2024 Ikulu...
  5. Wimbo

    CCM rudi kwenye misingi, vinginevyo hatuna Tanzania miaka ya mbeleni

    Zanzibar katika mambo yake yote wanzungumzia kuhusu Zanzibar na siyoTanzania bado kuna element ya kufanya mambo yao kama Zanzibar na siyo Tanzania na viongozi wengi wanatamani muungano uendelee ili uwawezeshe kufika mahali ambapo wanataka Zanziber ifike. Muungano huuu meshikiliwa na CCM...
  6. ChoiceVariable

    PreGE2025 Dkt. Nchimbi: CCM ikitikisika hakuna Tanzania madhubuti

    Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi amesema maneno ya Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere bado yanaishi ya kwamba CCM ikitikisika hakutokuwa na Nchi madhubuti na hivyo amewataka kila Mtanzania moyoni mwake asikie kwamba uimara na umadhubuti wa Nchi unamtegeme. Akiongea Mkoani Singida...
Back
Top Bottom