Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kufunguliwa kwa fomu za kugombea nafasi ya Spika na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa mujibu wa Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Laban Kihongosi, wanachama wa CCM wenye sifa au wabunge wateule wanaruhusiwa kuchukua...
CCM ilishajifia kitambo tangu mwaka 1995 ilizoea kushinda kwa kutumia vyombo vyao vya Dola na kupandikiza mimamluki mi Double Agents.
Kwenye vyama vikubwa vya upinzani nchini pamoja na kusajili vikaragosi vyao 17 CCM inavyoviita ni vyama vya upinzani. Vinavyolindwa na tume ya uchaguzi...
Habari watanzania
Bila kupoteza muda ningependa niende moja kwa moja kwenye mada ninayotaka kuongolea.
Kila mmoja nadhani atakubaliana nami kwamba swala la NO REFORMS NO ELECTION limeibua hisia tofauti akilini mwa watu,
Kiuhalisia mjadala wa NO REFORMS NO ELECTION si jambo dogo kwa kuwa ni...
Wasanii Diamond Platinum, Rayvany na Ommy Dimpoz wamekuwa kivutio katika mkutano wa kampeni za chama cha Mapinduzi (CCM) zinazofanyika mkoani Mbeya.
Soma pia: Rais Samia kugawa bahasha kwa watumbuizaji ni sawa na kununua watu, anatuonesha hakubaliki bila 'zawadi'?
Hata hivyo, wakati mastaa...
Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema miongoni mwa ahadi za chama hicho kwa Watanzania endapo watapata ridhaa ya kuwatumikia, watakwenda kuuhusisha mchakato wa Katiba mpya.
Mchakato huo ulikwama mwaka 2014 kwenye hatua ya kura ya maoni ya Katiba...
Katika vyama vya siasa 17 vyenye wagombea urais waliothibitishwa na tume huru ya Taifa ya uchaguzi kushiriki uchaguzi mkuu wa October 29,2025, ni wazi CCM itaibuka mshindi wa jumla kwenye urais, ubunge na udiwani, kwa namna ilivyojipanga na kujiandaa.
Kama mdau wa jukwaa hili makini la siasa...
Tukisema matumizi mabaya ya mali za umma ndiyo haya.
Kama ofisini kwa tume huru ya uchaguzi taifa tayari kuna picha ya mgombea urais maana yake rais ajae anafahamika tayari, kama mshamjua kwanini mharibu pesa za kampeni? Si bora mumpitishe yaishe hizo pesa zikafanye kazi nyingine?
Mnalikosea...
Miezi kadhaa iliyopita kuna tukio la askari usalama barabarani kusimamisha gari aina ya Rolls-Royce Cullinan Series II (Gari ya zaidi ya Billioni 2 za kitanzania) maeneo ya Masaki ila dereva akapita bila kusimama.
Soma pia: Kama wewe ni Trafic Police, nani utamruhusu apite kwanza?
Dereva wa...
Rais Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, akiwemo Amos Makalla aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha ili kuanza rasmi majukumu yao mapya katika utumishi wa umma nchini.
Katika hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika Ikulu jijini Dodoma leo Agosti 26, 2025...
CCM ya zamani ilikuwa inafuata yale waliyoandika ili yawaongoze katika utumishi wao ndani ya Chama na Serikali.
CCM ya zamani ilikuwa inaongozwa na Imani za Mwanachama. Hakuna mwanachama ambaye hakujua Imani ya Chama chake. Watu waliziimba, wakazielewa, wakazitumikia.
CCM ya zamani ilikuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.