carina

Carib or Kari'nja is a Cariban language spoken by the Kalina people (Caribs) of South America. It is spoken by around 7,400 mostly in Brazil, The Guianas, and Venezuela. The language is currently classified as highly endangered.

View More On Wikipedia.org
  1. Just Pray

    Mwigizaji Carina azikwa makaburi ya Kisutu, Dar

    Aliyekuwa mwigizaji wa Filamu nchini marehemu Hawa Hussein (Carina), amezikwa leo Aprili 19, 2025 katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Carina alifariki dunia Aprili 15, 2025 nchini India alikoenda kupatiwa matibabu ya tumbo ambalo limemsumbua kwa zaidi ya miaka saba, huku akifanyiwa...
  2. Damaso

    Msiba wa Marehemu Carina umekuwa ndo Spotlight

    Hivi ni nani ambaye ametuvuruga akili na kukosa utu kiasi hiki? Ni nani ambaye anaweza kutumia japo 5% ya akili yake kutambua kuwa sio kila kinapaswa kuwa Spotlight mitandaoni? Ni mtu yupi ambaye anaweza kutoka mbele ya hadhara na kusemea hili? Dada yetu Carina alipoanza kuumwa, media...
  3. Knock life

    Carina alishindwaje kumjengea mama yake hata kibanda huko kivule mpaka leo familia nzima wanaishi nyumba za kupanga ?

    Carina alishindwaje kumjengea mama yake hata kibanda huko kivule mpaka leo familia nzima wanaishi nyumba za kupanga ?. Wasanii mnajisahahu Sana
  4. Knock life

    Msanii Carina , hajarogwa na mtu yeyote ila amefariki kifo cha kawaida.

    Msanii Carina , hajarogwa na mtu yeyote ila amefariki kifo cha kawaida.
  5. Intricate

    TANZIA Muigizaji wa Bongo Movie, Carina afariki dunia akipatiwa matibabu nchini India

    Muigizaji wa Filamu Nchini Tanzania Hawa almaarufu Carina amefariki Dunia akiwa Nchini India ambako alikuwa anapatiwa matibabu Hawa alitarajiwa kurejea Leo Nchini Tanzania baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa kutibu tatizo la tumbo lililokuwa likimsumbua kwa muda mrefu.
  6. Mnyenz

    Magari ya milioni Tano (5M) kushuka chini

    Ndugu msomaji, namba yangu ni 0712 148001. Magari nitakayopost kwenye uzi huu, bei yake ni milioni tano kushuka chini, usije kukubali kupigwa. Nunua gari kuendana na uchumi wetu wa mitano tena. WhatsApp 0712 148001.
  7. BabaMorgan

    Vintage Toyota Carina mwaka 1973

    Kama Toyota Carina mwaka 1973 ilikuwa hivi nini kilitokea kwa matoleo recent TOYOTA CARINA 1973 TOYOTA CARINA 2001
  8. Mnyenz

    Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani). Mods uzi usiunganishwe.
  9. Mnyenz

    INAUZWA Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani).
Back
Top Bottom