canva

Canva is an Australian global multi-national graphic design platform that is used to create social media graphics and presentations. The app includes readymade templates for users to use. Creating an account and using Canva is free, although the majority of high quality elements will need to be paid for in order to download one's project. The app also offers paid subscriptions such as Canva Pro and Canva for Enterprise for additional functionality. In 2021, Canva launched a video editing tool. Users can also pay for physical products to be printed and shipped. Examples of products that can be made on Canva include yard signs, business cards, chore charts, album art, ebooks, infographics, menus and invitations. The company has announced it intends to compete with Google and Microsoft in the office software category, with website and whiteboard products. On December 7, 2022, Canva launched Magic Write, which is the platform’s AI-powered copywriting assistant. On March 22, 2023, Canva announced its new Assistant tool, which makes recommendations on graphics and styles that match the user's existing design.In June 2020, Canva raised A$60 million at a valuation of A$6 billion; almost doubling its 2019 valuation. In September 2021, Canva raised US$200 million, with its value peaking that year at US$40 billion. By September 2022, the valuation of the company had leveled at US$26 billion.

View More On Wikipedia.org
  1. youngkato

    MWONGOZO JINSI YA KUTUMIA NA KUPATA CANVA (Ufafanuzi rahisi kabisa kwa kila mtu hata kama hujawahi kufanya design)

    Kuna watu wengi sana wanapenda kufanya biashara, kuandika mitandaoni, kufundisha, au kutangaza huduma zao… lakini wanakwama sehemu moja: “Sijui design.” Zamani ilibidi ujifunze Photoshop kwa miezi mingi au umlipie designer pesa nyingi ili tu upate poster moja. Lakini leo hali imebadilika...
  2. Fascinating

    Hitalafu za Huduma za Amazon (AWS) imesababisha kutopatikana kwa Application nyingi Duniani ikiwemo snapchat, Fortnite na Canva

    Kitengo cha huduma za mtandaoni cha Amazon, Amazon Web Services (AWS) kimekumbwa na hitilafu na kusababisha changamoto ya upatikanaji wa huduma kwa makampuni mbambali duniani. Huduma zilizopata changamoto ni pamoja na tovuti na programu kadhaa maarufu, zikiwemo game ya Fortnite, mtandao wa...
  3. Heritage123

    Faida 10 za Kutumia Canva — Jukwaa Rahisi kwa Kila Mtu Anayetaka Kutengeneza Miundo ya Kuvutia

    Katika dunia ya sasa ya kidigitali, miundo (designs) bora ni silaha ya kwanza ya ushindi katika biashara, ujasiriamali, elimu, au hata content creation ya mitandaoni. Lakini si kila mtu ana muda wala ujuzi wa kutumia programu tata kama Photoshop. Hapo ndipo Canva inapotokea kama mkombozi. Ikiwa...
  4. G

    Wanachuo, Vijana Msio na Kazi unaweza pata 5000-20,00+ kwa siku kutumia AI

    Hiki kizazi chetu kiko BLESSED na INTERNET. Na kwa mtu yeyote aliesoma hata form four na ana uwezo wa kuelewa lugha zote mbili, Kiswahili na English ana Advantage ya kupata kipato. Sio tu ONLINE hata kwenye maisha yetu ya kila siku mtaani. Kuna vijana wanasaidia makampuni kuuza bidhaa mtaani...
  5. Heritage123

    NJIA 10 ZA KUTENGENEZA PESA UKITUMIA CANVA

    Katika makala hii, utajifunza njia 10 rahisi lakini zenye faida kubwa za kutumia Canva kutengeneza pesa — iwe uko shule, kazini au nyumbani. 1. Kuuza Templates (Miundo Tayari) Canva inakuruhusu kutengeneza templates kama CV, kadi za harusi, posta za Instagram, nk. Unaweza kuuza hizi templates...
  6. Heritage123

    JINSI YA KUTUMIA CANVA KUTENGENEZA PESA MTANDAONI (ONLINE)

    📌 HATUA KWA HATUA: JINSI YA KUTENGENEZA PESA KUPITIA CANVA 1. Fungua Akaunti ya Canva (Free au Pro) Tembelea www.canva.com na fungua akaunti yako. Tumia toleo la bure kwa kuanza, lakini ukitaka templates na picha zaidi — Canva Pro ni suluhisho bora. 2. Jifunze Kuunda Designs Zinazouzwa 👉 Badala...
  7. youngkato

    Kama Hutumii Canva upo nyuma ya Muda

    Kama Hutumii Canva upo nyuma ya Muda. Kama hujui kutumia Canva upo nyuma ya Muda. Muonekano wa kazi zako ndo unaleta utofauti kati yako na wateja wako. Unauza bidhaa, unatoa huduma, au una brand. Kuwa na designs nzuri za kazi zako ni muhimu sana. Ninatumia Canva kutoa huduma zangu kwa...
  8. FestoKaguo

    App tano unazotakiwa kuwa nazo kama mfanya biashara

    Kama wewe ni mmiliki wa biashara ndogo, kuna apps ambazo ni lazima uwe nazo kwenye simu yako. App hizi zinaweza kukuokolea muda, kukuongeza ufanisi wa kazi pamoja na kukurahisishia maisha ya kila siku kwenye biashara yako. Nakuwekea list ya app hizi tano ambazo hautakiwi kuzikosa kabisa...
  9. Heritage123

    Njia 5 za Kutengeneza Pesa na Canva

    Utangulizi Canva ni zana yenye nguvu sana kwa wale wanaopenda ubunifu. Ukiwa na kipaji cha kubuni, unaweza kutumia Canva kama chanzo cha mapato. Iwe unatafuta biashara ya pembeni au njia ya kutengeneza pesa kamili, Canva inakupa fursa nyingi. Hapa chini kuna njia tano unazoweza kutumia Canva...
  10. FestoKaguo

    Jinsi ya Kutengeneza Pesa Kutumia Canva kama tool ya graphics design

    Soma usije kulaumu mtu baadae haya maelezo ni zaidi ya kuwa na degree Watu wengi wanaotumia Canva huwa wanatumia kutengeneza posters za social media kama za Instagram, facebook, twitter n.k, lakini JE unajua unaweza kuitumia Canva hiyo hiyo kutengeneza pesa zaidi out of hizo social media...
  11. Father of Chemistry

    Je, unaifahamu Canva?

    Za asubuhi wanaJF. Leo ikiwa ni Jumanne tulivu, wanaJF wakitokea kwenye weekend ndefu kuanzia Jumamosi. Ninaanza kwa swali kama kichwa kinavyosema, Je unaifahamu CANVA? Share designs uliyotengeneza kwa kutumia hii software ya CANVA. Natumai kwa wale wote ambao hawaifahamu ni mwanzo mzuri wa...
Back
Top Bottom