Awali ya yote niipongeze Serikali kwa kutoa usafiri wa bure kwenda Morocco jambo hili litaongeza idadi ya wapenzi, wanachama na mashabiki kwenda kuishangilia timu yetu.
Jambo la kuhudhunisha ni uongozi kuambua kuwalipisha watu nauli ya $1,200 hii nini maana yake? Nani yupo nyuma ya hii...