bukoba vijijini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Kuzorota kwa huduma za Tiba na Matunzo kwa WAVIU mkoa kwa Kagera kuanzia January 2026

    Habari, Ninaishi na VVU na ninatumia ARV tangu 8 February 2015 katika Kituo cha Afya Katoro Bukoba vijijini. Kwa taaluma ni Mwalimu wa shule ya Msingi Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini. Kuanzia mwezi wa pili mwaka 2026, sisi WAVIU tumeanza kupata shida ya kuzorota kwa huduma. Kwa mfano...
  2. W

    GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Kagera, Buruhan amegoma kusaini matokeo ya kura za maoni Bukoba vijijini

    Bukoba Vijijini | CCM Kura za Maoni Falis Athumani Buruhan amegoma kusaini matokeo ya kura za maoni baada ya kutoridhika na matokeo hayo yaliompa ushindi Dk. Jasson Samson Rweikiza, aliyeibuka mshindi baada ya kupata kura 6,485 kati ya kura halali 11,582 Falis Athumani Buruhan, alipata kura...
  3. Nkarahacha

    Faris Buruhan aangukia pua kura za maoni CCM Bukoba Vijijini ,Dkt Rweikiza apeta

    Ndg,Faris Buruhan ameshindwa katika kura za maoni Bukoba Vijijini kwa kupata kura 4619 nyuma ya mbunge aliyepo Dkt Jasson Rweikiza aliyepata kura 6465 .
  4. B

    PreGE2025 UVCCM Faris Buruhani aliyesema wakiwapoteza watu polisi wasiingilie kuwania ubunge Bukoba Vijijini

    Mwenyekiti wa UVCCM Faris Buruhani aliyesema wakiwapoteza watu polisi wasiingilie kuwania ubunge Bukoba Vijijini. Kama ni 'mtu asiyejulikana' akiwa UVCCM unafikiri hali itakuwaje atakapokuwa mbunge? Si ndio atawapoteza wa kutosha aweke rekodi na viroba viokotwe vya kutosha huko kagera? Soma...
  5. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Vijana UVCCM Bukoba Vijijini Walalamikia Kukwama kwa Kampeni ya SANEVO ya Rais Samia

    Vijana wa umoja wa UVCCM wilaya ya Bukoba Vijijini wamelalamikia kukwama kwa kampeini ya kutafuta kura mpya za Rais Samia inayoitwa Samia New Voters Campagn (SANEVO) iliyopangwa kufanyika wilayani humo mwishoni mwa mwezi machi, mwaka huu 2025. Wakiongea na Vyombo vya habari mara baada ya...
  6. Just Pray

    PreGE2025 Mbunge Bukoba Vijijini: Serikali imetoa bilioni 106.4 kutekeleza miradi ya maendeleo

    Serikali imetoa Sh bilioni 106.4 kufanikisha miradi ya maji, afya, barabara, umeme na elimu katika jimbo la Bukoba Vijijini mkoani Kagera kwa kipindi cha miaka minne, Mbunge wa jimbo hilo, Jassoni Rweikiza anasema. Akizungumza jana katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Makamu Mwenyekiti wa...
  7. Apollo tyres

    Tetesi: Dr Bashiru kugombea udiwani kata ya Kanazi, Bukoba vijijini.

    Hii Taarifa nimedokezwa na Wadau wa kanazi kuwa Dr Bashiru anataka udiwani wa kata kanazi. Kama ni kweli basi nadhani ameamua kujiua kisiasa na kukubali matokeo.
  8. B

    Mwenyekiti wa UVCCM Bukoba vijijini na Bwanku waongoza mazoezi makubwa ya usafi Katerero

    📍Wafanya Usafi Soko la Kemondo. Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Bukoba Vijijini chini ya Mwenyekiti wake Ndugu Andrew Byera kwa kushirikiana na Afisa Tarafa wa Tarafa ya Katerero Ndugu Bwanku M Bwanku Jumamosi Juni 08, 2024 wameongoza kundi kubwa la wananchi wa Kemondo...
Back
Top Bottom