Habari,
Kwa mtu mwenye ndoto ya kununua Hisa za makampuni mbali mbali jiepusheni na Tanzania Security Limited(TSL) Kwa sasa huyu broker ameshakuwa broke embu fikiria kama kampuni inaweza kuzima namba za huduma Kwa mteja siku nzima je Hisa zako zitakuwa salama, kama unaweza kuuza Hisa zako...