Ukikuatana na binti ambaye anaamini katika kupambania ndoto zake mwenyewe bila kushirikiana au kuwa na mume then tikisa kichwa kwa masikitiko halafu toa msonyo wa “hewala” na uendelee na shughuli zako.
Mabinti wengi (umri wa 16 hadi 26) huwa na mitazamo ya kufikirika sana isiyo na uhalisia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.