Inaelezwa kuwa Mfalme wa Thailand amechukua hoteli ya kifahari nchini Ujerumani ili kujitenga ikiwa ni hatua za kujikinga na virusi vya Corona, huku akiwa na wanawake 20.
Mfalme huyo, Maha Vajiralongkorn, mwenye umri wa miaka 67, ameripotiwa kuchukua hoteli nzima ya Grand Hotel Sonnenbichl...