Kutoka kwenye jamhuri ya watu wa Facebook
Baada ya Taifa stars kunyimwa penalti
Hiki ndicho alichopost kwenye ukurasa
Wake Dansa Queen Fraison maarufu Bonge la Dada
DANSA anayetikisa kupitia wimbo wa Mbosso Khan “Aviola”, Queen Fraison, amefunguka kuhusu kazi yake ya unenguaji ambayo kwa sasa ndiyo inampa zaidi kipato.
Queen Fraison amesema, hapendi kucheza hadharani au kujidhalilisha, lakini hana budi kuendelea nayo kwani ndiyo kazi inayomuweka mjini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.