bolt/uber

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Streptokinase

    JamiiForums Tanzania Fursa: Dereva bolt/uber wa gari anahitajika

    Anahitajika dereva mwenye leseni ya gari na mwenye account ya bolt aliye na uzoefu wa kuendesha bolt Dar es salaam. Gari iliyopo inatumia mfumo wa gas, malipo ni kwa hesabu ya siku sio ya mkataba. Aliye tayari anicheki Dm. ===== Update: Dereva amepatikana
  2. Moha 255

    JamiiForums Tanzania Natafuta tajiri wa kufanyanae kazi ya bolt/uber, asiwe mbabaifu kwasababu mimi sio mbabaifu

    Habari wakuu, poleni na majukumu ya kila siku.. mimi kijana wenu mitiifu Mohammed nipo dar-es-salaam natafuta gari ya kufanyia biashara ya bolt/uber, kwa upande wangu nimekamilika Niko na kila kitu ambacho driver anatakiwa kuwa nacho ikiwemo platform zote za hii industry Hivyo basi Kama yupo...
Back
Top Bottom