Ugawaji wa pembejeo za kilimo kwa zao la Korosho kuna ulakini, Mamlaka ya Bodi ya Korosho wanasema zipo za kutosha lakini huku vijijini hatupati, yaani wengine hatujapata lakini hata baadhi ya wachache waliopata pia hazikidhi mahitaji.
Soma Pia: Polisi Mtwara wakamata Viongozi AMCOS na...