Blenda ikitumika vizuri hudumu zaidi. Haya ni maelekezo kutoka kwenye manual:
Soma kitabu/karatasi ya maelezo (user manual) juu ya namna sahihi ya kuitumia blenda yako husika
Hakikisha jug imekaa vizuri kwenye base kabla ya kuwasha.
Shikilia jug kabla ya kuwasha Usalama kwanza
Toa soketi...