bili za maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    GE2025 Mgombea urais NRA, Almas Kisabya, aahidi kufuta bili za maji kwa wananchi

    Mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha NRA, Almas Kisabya, ameahidi kutunga sheria kali za kupambana na mmomonyoko wa maadili nchini, sambamba na kufuta bili za maji kwa wananchi, ambapo gharama zote zitabebwa na serikali.
  2. D

    Nimeletewa bill ya maji isiyo sahihi. Naomba msaada kwa mwenye Uelewa

    Kichwa cha habari Chahusika, Salam kwenu GT wote.. Niende moja kwa moja kwenye Changamoto yangu.. Niliunganishiwa Maji mnamo tarehe 08/03/2025 na baada ya hapo Nimekuwa nikitumiwa bill baada ya msoma dira kupita Mwezi wa kwanza Maji yalitoka mfululizo kiasi na bill ilipokuja ni kuwa nilitumia...
  3. Mkalukungone Mwamba

    Taasisi za serikali wilaya ya Hai zadaiwa bili za maji zaidi ya mil.30, DC acharuka

    Baadhi ya Taasisi za Serikali zilizopo wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro ikiwemo Jeshi la Polisi Hai, Shule ya Sekondari Hai Day zimetajwa kuwa na deni sugu la bili za maji inayofikia Zaidi ya Shilingi milioni 30 hali ambayo inawapa changamoto yakifedha na uendeshaji bodi ya Maji Uroki Bomang’ombe...
  4. P

    Bili yako ya maji mwezi Februari inaendana na uhalisia wa matumizi yako?

    Wakuu salam, Bili za mwezi Februari zimetoka, jamani huku kwetu Mbezi Beach kila mtu anashangaa ubambikaji wa bili hizi. Yaani kwa kila mtu bili imeshoot kuliko kawaida wakati matumizi ni ya kawaida, sio kwamba ni shule au labda unafanya biashara ya kuuza maji. Tena cha kushangaza zaidi ni...
Back
Top Bottom