bila kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kusherehekea Muungano wa JMT bila kujua alipozikwa shujaaa Kassim Hanga ni unafiki

    Kassim Hanga alikuwa shujaa mwanamapinduzi na alikuwa mmoja wa waasisi wa Smz. Ikumbukwe kuwa bila ya SMZ kuungana na Tanganyika leo kusingukuwa na JMT. Kwa nini alipozikwa Kassim Hanga hapajulikani mpaka leo hii ili iwe kumbukumbu kwa taifa letu?
  2. Miamala kwa njia ya simu inatufilisi bila kujua

    Kusaidiana ni njia mojawapo ya Kudumisha Upendo Baina yetu sisi na watu wengine ikiwemo ndugu zetu, jamaa na Marafiki. Kukua na kuongezea kwa matumizi ya Huduma za Kifedha kwa njia ya simu imesaidia na kurahisisha kwa kiwango Kikubwa sana ndugu, jamaa na marafiki kutumiana fedha pindi...
  3. Niliishi na mwanamke kwa miaka 2 bila kujua ni mke wa mtu

    Moderator please DELETE huu Uzi.
  4. Namna ambavyo bila kujua unatumia kipato chako kuwalipa wengine bila ya kujilipa wewe kwanza

    Unapata kipato chako mfano laki tano kwa mwezi, mtu anakuambia pesa yako hii bila kujua unawalipa watu wengine wewe hujilipi, swali la kujiuliza kwani hii laki tano si ya kwangu najilipaje sasa wakati laki tano hii ni yangu? Ni kweli yako lakini sasa katika laki tano mfano utagawa mahesabu kama...
  5. Hivi nina matatizo ya akili au vipi?

    Hivi kweli mtu anaweza kuwa ana ishi bila kujua kama ana matatizo ya akili? Mimi mwenzenu na shangaa saana watu wengi wananiambia kuwa awanihelewi kabisa yaani kuanzia maneno yangu mpaka vitendo vyangu na wengine Wana sema nimepungukiwa akili kabisa Hata mimi mwenyewe kuna mda uwaga si helewi...
  6. Mwanzo nilijua ni allergy kumbe ni aina ya sumu nilitengeneza mwilini bila kujua

    Niliwahi kuwa nawashwa sana masikio kwa ndani, nilijaribu sana kwenda hospitali nikatumia dawa zikawa zinatuliza ila sikujua kuwa kuna kitu ninachokula karibia kila siku ndio kinacho tengeneza sumu kwenye damu kiasi kwamba nikila Karanga, Tangawizi, Parachichi… nasikia masikio yana washa sana...
  7. C

    Nilivyobebeshwa vitu hatari na magendo bila kujijua

    Leo naomba ku share nanyi matukio nilowahi kupitia yakubebeshwa vitu vya hatari pasi na kuelewa. 1: Mwaka 2002 Nikiwa darasa la 2 Mama yangu mzazi alifariki dunia. Nikaombewa ruhusa na kwenda kumzika (nilkuwa nikiishi na baba Mwanza). Baada ya Mazishi nilipata homa kali ambayo hospital za pale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…