bikira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania TANZIA Olivia Hussey, Aliyewahi kuigiza kama Bikira Maria (Mama wa Yesu) afariki dunia

    Mwigizaji Olivia Hussey maarufu kama Juliet , aliyepata umaarufu kupitia filamu ya Romeo and Juliet ya mwaka 1968, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73. Mwigizaji huyo ambaye amewahi kuuvaa uhusika kama mama wa Yesu katika filamu ya 'Jesus Nazareth' ya mwaka 1977, amefariki siku ya Ijumaa...
  2. JamiiForums Tanzania Mchungaji Rose Shaboka: Niliolewa nikiwa bikira

    Maneno haya sio mageni jijini labda uwe mgeni wa jiji, ni pastor mwenyewe kafunguka kwa kusema.... "Niliolewa nikiwa bado bikira, niliolewa nikiwa msafi sikuwa mchafu". Wana familia wa New day tujuane hapa.
  3. JamiiForums Tanzania Mwanamke wastani wa miaka 25 hadi 29 bado ni Bikira

    Habarini Wakuu Katika maisha ya kila siku kuna marafiki wapya tunaokutana nao. Namaanisha rafiki sii zaidi ya hapo. Kuna mmoja nimeanza kuwasiliana nae kama wiki sasa, hajaniweka wazi umri wake sahihi lkn ni wastani wa miaka 25 mpaka 29. Anasema kwa ujasiri sana kua yeye bikira mpaka leo hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…