Mpasuko na mivutano ya kisiasa ndani ya kambi ya upinzani nchini Tanzania umezidi kushika kasi kufuatia mfululizo wa shutuma na majibu makali hadharani kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na chama cha ACT Wazalendo.
Ugomvi huu mpya umeibuka kufuatia mkutano wa hadhara wa CHADEMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.