biashara ya maziwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. youngkato

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia katika biashara ya kuuza maziwa

    Biashara ya maziwa inaweza kuwa chanzo kizuri cha kipato kwa sababu maziwa ni bidhaa inayotumika kila siku. Lakini, ili kufanikiwa, siyo suala la kuwa na maziwa pekee—unahitaji kujua namna ya kuyaendesha kama biashara. 1️⃣ ZINGATIA USAFI NA UBORA Maziwa yanahitaji usafi wa hali ya juu...
  2. Hot27

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya Maziwa mtindi na Maziwa fresh

    Habari za wakati huu ndugu zangu wa JF, tukiendelea na mapambano ya kila siku Kwenye harakati za mapambano nimefikiria kutafuta eneo kwa ajili ya kuuza maziwa ikibidi kuongeza na bites na vitu vingine. Nimefikiria kupata maziwa fresh, maziwa mtindi, Asas (pamoja na yogurt), Tanga Fresh na...
  3. Candela

    JamiiForums Tanzania Napataje kwa bei za jumla bidhaa hizi?

    Natafuta wanapouza Asas na Kilimanjaro prosucts hasa yoghurt, Nahitaji kwa bei ya jumla.
Back
Top Bottom