Mara nyingi nimekuwa ni mtu wa chakula cha nyumbani hivyo sikujua yanayoendelea huko kwa mama ntilie.
huwa nawaonaga tu hawa mabinti wanatembea mitaani kutafuta wateja na wengine wanatembea umbali mrefu kwa mguu kupeleka vyakula, malipo yao huwa ni elf 3, chombo kikipotea au chakula kimwagike...
Ni danguro la mabinti wadogo sana wengine wanawake watu wazima eneo la Mbezi Beach - Rainbow
Polisi Kawe wameshaaambiwa sana lakini wanachofanya wanabeba wanawake wakifika gizani wanawaachia wanarudi tena usiku huo huo! Huku Beach imegeuka Lodge, walinzi Shirikishi wanawalinda na kuvuta chao...