Habarini wana jf nina mtaji wa 310,000 tsh lakini nataka nitumie 150,000/= kufany biashara ya juisi za matunda.
Naombeni ushauri sina blender wala freezer.
Nawasilisha
Habari
Wiki ilioisha niliona mdau kaelezea kuhusu biashara ya juice sikumuelewa vizuri.
Kama kuna MTU anaijua vizuri ajaribu kushare lolote na Mimi nataka kuijua changamoto yake, mahali unayoweza kuifanyia ani iwe na factors zip za muhimu pia faida ake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.