biashara ya forex

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Dogo aliacha chuo ili afanye biashara ya forex! Mtaani kumekuwa kugumu anaomba tumsaidie arudi kuanza chuo tena

    Miaka kadhaa iliyopita mtoto (wa kiume) wa shemeji yangu , aliacha chuo akiwa ameshamaliza mwaka wa pili eti anataka kufanya biashara ya forex. (Kipindi hicho hata sielewi ndio wanafanyaje). Ni kwamba, dogo alipotakiwa kwenda chuo hakwenda, nyumbani walipomuuliza akasema chuo amesimamishwa kwa...
  2. Fbn

    Hamna mtu yeyote anayetengeneza faida ya Mamilioni mtandaoni atakuwa anakushawishi ujiunge na akufundishe siri ya faida yake

    kwa Kiswahili: “Hakuna anayepata faida ya $10,000 kwa mwezi kwenye biashara ya trading halafu bado anataka kusajiliwa na wewe.” Kauli inayotumika kwenye forums za biashara (kama Forex Factory), Telegram trading groups, au Facebook trading communities — mara nyingi kama njia ya kuonya au...
  3. Davidmmarista

    Forex vs Betting

    Utofauti kati ya forex na betting ni upi?
  4. namimi07

    Msaada: Namna ya ku-withdraw pesa kutoka kwa broker kwa njia rahisi kwenye biashara ya Forex

    Jamani habari zenu wadau? Mimi nimeweza kutengeneza faida kwenye hii biashara lakini naona kuna Namna ntafeli wakati wa kuwithdraw. Najua mtaniambia kuwa kwa nini sikuwaza hilo kabla ya kuanza? Naombeni Masada. Magwiji wa kuwithdraw/kutoa pesa kutoka kwenye account zao za forex hadi Benki/...
Back
Top Bottom